Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Waalimu wana stress mno kuzidi watu wa afya, sasa hizi tabu zilizowatokea watu wa afya pamoja na kuwapa maelekezo namna ya kufanya ila bado ikifika zamu ya waalimu nao wataturudisha nyuma tuwape tena maelekezo.Bado walimu,
Jamiii forums ita jam, watu tutashambuliwa ,utadhani sisi ndio akina Janabi.
Mbaga Jr amesema hawa watu wanahitaji ukaribu, anaweza ajiue.