Mliofanya usaili ajira za Afya tupeni update hali ilikuwaje

Mliofanya usaili ajira za Afya tupeni update hali ilikuwaje

Tu
Tuliza akili kijana huna haja ya kupitia chochote pass mark yenyewe 58% kama unajua unajua tu na kama hujui hujui hata usome vipi.
Inategemea na ufaulu wa ujumla na idadi ya watu wanaotaka aitabiliki wanapiga panga kwenye pass mark yeyote hile
 
Kuna wapo waliokutana na hii ishu?
IMG-20240904-WA0001.jpg
 
Hilo jambo linatuhusu wengi sana nahisi kwa post hii utatusaidia wengi mkuu ahsante sana
Nataka uthibitisho maana hayo maelezo yanatoka Facebook ndio maana nimeuliza huku
 
Duh saiv kila course ni kupambana na usail yan mpaka unapata salary aisee unabid miaka 2 ule bata tu.
Ndio hivyo mzee, kumbuka kila mwaka kuna kontena la wahitimu wanaingia mtaani na serikali inatangaza nafasi chache.
 
Hizo stori za mtaani tu mm vyeti vina majina mawili sijawahi kutana na hicho kitu maana majina matatu yapo kwenye NIDA na ndio yanayosoma kwenye mfumo,mwenye majina mawili harudishwi
Eti wanasema kama una initial katikati ya majina inabidi uthibitishe hiyo initial.

Mfano: SIKUJUI M MTAFUTAJI(kwenye vyeti vya shule, Chuo)

Halafu ID(NIDA) na Birth Cert vikawa havina Initial (M).

Ndio nauliza kama kweli watu wamekutana na hii ishu
 
Back
Top Bottom