Mliofanya usaili ajira za Afya tupeni update hali ilikuwaje

Mliofanya usaili ajira za Afya tupeni update hali ilikuwaje

kwahy kwa kutumia computer unatyp km unaandka assignment au ni multiple choice?komputa mmeitumiaje yaani
Mtihani ulikua kawaida wameleta vitu vidogo vidogo na sisi tumejiandaa na vitu vikubwa unajikuta unakosa swali hadi unajitukana kimoyo moyo
 
Baadhi yao matokeo yametoka, ngoja maumivu/furaha iishe watakuja kutoa muongozo
 
Back
Top Bottom