Mliofanya usaili ajira za Afya tupeni update hali ilikuwaje

Kumbe inawezekana ukapita interview zote na bado usipangiwe kituo cha kazi???
Screenshot_2024-09-08-06-10-28-165_com.instagram.android~2.jpg
 
Mkuu naomba basi unisaidie maswali ya oral na written au kama unajua magroup ya telegram ambayo naweza kupata hayo maswali au discussion please🙏🥹
Hakuna magroup mkuu we ni kujiandaa tu hata usiweze maswali yao sio magum wala usisome vitu vikubwa kikhivo ni maswali ya uelewa tu kama ulisoma darasani vizuri ukaelewa kwa maswali yao unajibu vzr tu
 
Sawa mkuuu shukrani
 
Back
Top Bottom