Hiyo kawaida SanaKumbe inawezekana ukapita interview zote na bado usipangiwe kituo cha kazi???
View attachment 3089907
Hujaelewa nini mkuu?Kumbe inawezekana ukapita interview zote na bado usipangiwe kituo cha kazi???
View attachment 3089907
DuuuuuuuuhHujaelewa nini mkuu?
Maana yake umefaulu ila kuna waliofaulu zaidi yako.
Vipi umepata?Hahahaha..mwaka huu nimezichanga karata zangu vyema kabsa
Ndio mkuuVipi umepata?
Mkuu naomba basi unisaidie maswali ya oral na writtenNdio mkuu
Mkuu naomba basi unisaidie maswali ya oral na written au kama unajua magroup ya telegram ambayo naweza kupata hayo maswali au discussion please🙏🥹Ndio mkuu
Hakuna magroup mkuu we ni kujiandaa tu hata usiweze maswali yao sio magum wala usisome vitu vikubwa kikhivo ni maswali ya uelewa tu kama ulisoma darasani vizuri ukaelewa kwa maswali yao unajibu vzr tuMkuu naomba basi unisaidie maswali ya oral na written au kama unajua magroup ya telegram ambayo naweza kupata hayo maswali au discussion please🙏🥹
Sawa mkuuu shukraniHakuna magroup mkuu we ni kujiandaa tu hata usiweze maswali yao sio magum wala usisome vitu vikubwa kikhivo ni maswali ya uelewa tu kama ulisoma darasani vizuri ukaelewa kwa maswali yao unajibu vzr tu