Hakuna zali la mentali kwenye uongozi hata China ya kabla ya huyo kiongozi haikuwa sawa na Tanzania.China walipata zali la mentali/ bahati ya kuwa na kiongozi Rais mzuri aliitwa Deng Xiaoping ndio alifanya mageuzi makubwa ya uchumi wa China.
Kamgugo Deng Xiaoping ndio utaelewa
?China walipata zali la mentali/ bahati ya kuwa na kiongozi Rais mzuri aliitwa Deng Xiaoping ndio alifanya mageuzi makubwa ya uchumi wa China.
Kamgugo Deng Xiaoping ndio utaelewa