Mliofika China hivi bado mnawaamini hawa wanasiasa walioko madarakani kwamba kuna siku watafikia maendeleo ya Wachina hata kwa asilimia 3%?

Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo.

Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa Wachina.

Hakuna trafiki barabarani ni camera tupu na hakuna bango la Raisi wa China mitaani, jinsi Wachina walivyo busy kazini, hakuna muda wa kucheza Pool table Wala foleni iliyosababiahwa na kiongozi kwamba anapita.

Kwa kifupi sioni hata umuhimu wa kuwepo bunge nimevurugwa kweli.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Trust me inawezekana. Mpaka sisi tunaosema inawezekana tuamue iwezekane.

Rasilimali tunazo na sehemu za kuweka hiyo miundombinu tunazo. Nia ya dhati na uelekeo ndio tumekosa.

Afrika tuna Agenda 2063 ina malengo mazuri mno, Tanzania tuna Dira ya Taifa ya Maendeleo ina vitu vizuri vilevile isipokuwa kwenye kutekeleza ndio tumewaachia wale wasio na nia ya kufikia hayo malengo.

tatizo la waafrika linaanza ndani ya bongo zetu, sisi ni watu wa ovyo sana
 
Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo.

Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa Wachina.

Hakuna trafiki barabarani ni camera tupu na hakuna bango la Raisi wa China mitaani, jinsi Wachina walivyo busy kazini, hakuna muda wa kucheza Pool table Wala foleni iliyosababiahwa na kiongozi kwamba anapita.

Kwa kifupi sioni hata umuhimu wa kuwepo bunge nimevurugwa kweli.

China, walianza kwa kuipa Hesabu & Saiyansi nafasi ya kwanza ikiwemo kutoa scholaship za kusoma masomo ya saiyansi tu Nje ya Nchi; masomo mengine walitakiwa kusoma ndani ya Nchi yao... baada ya miaka takribani 15 wakawa tayari wana wataalam wao wenyewe wa kila kitu....
Huku kwetu tangia uhuru, tumekuwa tukiamini kila Mwalimu anaweza kufundisha Hesabu na Sayansi huko shule za msingi ambapo ndipo msingi wa Saiyansi unajengwa; Hii imepelekea hadi leo Kila mwaka takriban 80% ya wanafunzi wa shule za umma- msingi kupata Alama 0% kwenye Hesabu; Kwa maana hiyo kutushindanisha na China ni sawa na ulinganishe mbio za Kobe na swala.......
 
Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo.

Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa Wachina.

Hakuna trafiki barabarani ni camera tupu na hakuna bango la Raisi wa China mitaani, jinsi Wachina walivyo busy kazini, hakuna muda wa kucheza Pool table Wala foleni iliyosababiahwa na kiongozi kwamba anapita.

Kwa kifupi sioni hata umuhimu wa kuwepo bunge nimevurugwa kweli.
Wao pia hawatatufikia kwenye kura za rais.
 
Hatujawahi kuwa sawa na China na Historically China is one of the largest civilizations na mengi yalifanyika China hata kabla ya most western countries...

Mwisho wa siku its people and culture which makes things happen, pamoja na vision
 
Tunahitaji Rais mwenye spirt ya Magufuli. Akae mdarakani miaka 30+ sio haya mambo ya mihula. Hakika tutapiga hatua. Hatutawafikia wachina ila tutapiga hatua kubwa.
 
China, walianza kwa kuipa Hesabu & Saiyansi nafasi ya kwanza ikiwemo kutoa scholaship za kusoma masomo ya saiyansi tu Nje ya Nchi; masomo mengine walitakiwa kusoma ndani ya Nchi yao... baada ya miaka takribani 15 wakawa tayari wana wataalam wao wenyewe wa kila kitu....
Huku kwetu tangia uhuru, tumekuwa tukiamini kila Mwalimu anaweza kufundisha Hesabu na Sayansi huko shule za msingi ambapo ndipo msingi wa Saiyansi unajengwa; Hii imepelekea hadi leo Kila mwaka takriban 80% ya wanafuni wa msingi shule za umma kupata Alama 0% kwenye Hesabu; Kwa maana hiyo kutushindanisha na China ni sawa na ulinganishe mbio za Kobe na swala.......
Kupeleka wanafunzi wakasomee sayansi nje bahati mbaya hatuna watoti wa viongozi wa kutosha kuwapeleka nje.
 
Hakuna zali la mentali kwenye uongozi hata China ya kabla ya huyo kiongozi haikuwa sawa na Tanzania.
Wachina kwa asili wana IQ kubwa kitambo. Ni ancient civilization. Wana vitabu na majengo na teknolojia kubwa toka enzi za B.C. wachina walishazunguka na meli duniani hata walishafika pwani ya afrika mashariki hata pwani ya Tanzania walifika. Ni watu wenye uwezo mkubwa wa akili kitambo.

Je kuna chifu wa ki Tanzania au kabila lolote mwenye akili kitambo hicho, kuwa na meli ya kuzunguka dunia nzima? Walikuwa bize na kuwa na wake wengi tu
 
Tunahitaji Rais mwenye spirt ya Magufuli. Akae mdarakani miaka 30+ sio haya mambo ya mihula. Hakika tutapiga hatua. Hatutawafikia wachina ila tutapiga hatua kubwa.
Haya ni mawazo yaliyochoka.Dunia ilishatoka kwenye mfumo wakumtegemea mtu mmoja.mtu yoyote anaweza kua rais kukiwa na mifumo thabit yauwajibikaji wa wananchi kwa pamoja.Kumtegemea mtu aje kua kiongozi ili afanye vizuri nisawa nakuvua dagaa kwa ndoano.
 
Wananchi tumekataa changes sasa hiyo China tutaifikia vipi? Atleast chuma cha chato kilikuwa na maono.!
 
Haya ni mawazo yaliyochoka.Dunia ilishatoka kwenye mfumo wakumtegemea mtu mmoja.mtu yoyote anaweza kua rais kukiwa na mifumo thabit yauwajibikaji wa wananchi kwa pamoja.Kumtegemea mtu aje kua kiongozi ili afanye vizuri nisawa nakuvua dagaa kwa ndoano.
Nchi yoyote iliyopiga hatua Duniani, hapo mwanzo alitokea mmoja. Akakaza uzi vizuri, akapanga safu yake vizuri kabla hajaondoka akaacha mfumo mzuri na wengine wakaufuata huo. Mtu huyo hakukaa madarakani mihula miwili ya miaka mi5 mi5. Ni alikaa kweli na akanyoosha vilivyopinda.

Wewe unasema Dunia ilishatoka huko. Basi unajikuta civilized.... wenye akili hawakutoka huko hadi walivoona kumenyooka. Sisi hapa li nchi halina kila kitu, rushwa, ufisadi unanuka kila kona we unasimama kusema tulishatoka huko!
 
Back
Top Bottom