chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Usifanye ujinga ndugu,ila pole sana kwa msiba mkuuWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Pole sana mkuuNi ngumu sana hii hali. Ni mwaka sasa umepita tangu mama yangu mpenzi alipoitwa mbele za haki. Ni kama imetokea jana tu. Nikienda nyumbani simkuti sebuleni najua labda yuko uani napitiliza nako hayupo. Ukiwa mkubwa mama ametuachia hasa baba ambaye ni mtu mzima. Ila Kazi ya Mungu haina makosa maana ni kwake tulitoka na kwake ni lazima tutarejea. Pole sana mtoa mada. Mungu akutie nguvu
Nilimpoteza mama nikiwa na umri wa miaka 22, wakati anafariki alikuwa na miaka 41,Mimi ni mtoto wa kwanza kuzaliwa, na yeye ndiye alikuwa nguzo yangu ;kwa hakika nilipitia magumu mengi sana Ila Mungu kanivusha salama;Muombe Mungu na atakuvusha salamaWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Pole sana dear,ishi kwa upendo na mama mkwe.Usivutane naye.Nimebakia na mama tu mzee alishafariki, kuna muda nakwazana nae lkn nikiwaza upendo wake juu yangu , presence yake ni kila kitu maishani mwangu huwa namshukuru Muumba kwa zawadi hii. Nipo hivi nilivyo leo kwa sababu yake, nazidi kumuombea maisha marefu na yenye baraka tele. Poleni sana mlioondokewa na mzazi mmoja ama wote. Wazazi ni lulu maishani tuwaombee.
Sawa, ahsante my dearPole sana dear,ishi kwa upendo na mama mkwe.Usivutane naye.
Daah hakuna kinachouma kama mama kutangulia halafu bado mdogo nikiwa F3.we unasemea 50, mie mama alitutoka akiwa 40 yrs. Mpaka kesho siamini kama alienda kwa haki.
Huna jinsi zaidi ya kulia mkuu ili utoe uchungu moyoni.
Daah hakuna kinachouma kama mama kutangulia halafu bado mdogo nikiwa F3.
Hayo maumivu sitakaa sitayasahau.
Pole mkuu hakika mama ni nguzo muhimu sanaNi huzuni ilinikuta nikiwa std 2