Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

Wa kienyeji wapo wengi tu.

Pande za huku kuna watu wengi tu wanawafuga.

Majirani zangu wanafuga hao wa kienyeji. Wanafuga na mbuzi pia ๐Ÿ˜€.

Pia farmerโ€™s markets huwa zina options nyingi, ikiwemo kuku wa kienyeji.
vipi kuhusu hao broila wanafugwa sana na kuliwa sana na wazungu kama huku tz?
 
Nje ya
Mada hivi Texas na new york ipi imejengeka
 
Sio kienyeji halisi kwa maana wanawalisha madawa sana na wao ndio wanzilishi wa kuku za kisasa so vitu vingi vyao sio original . Why unauliza si ugoogle
Ulosema ni kweli tupu. Kuku wa kienyeji, Ulaya wanaitwa free range. Utakuta mtu ana shamba lakini limezungushiwa uzio. Cha ajabu kuku wa nazunguka humo ila wana pewa chakula hiki hiki cha viwandani. Hao Ndiyo wanaitwa wa kienyeji. Bei yake iku juu watu wengi hawanunui. Watu wengi almost 95% wananunua caged chicken meat. Matajiri ulaya wanakula pheasant huku kwetu anaitwa Kwale hao Ndiyo 100% organic na bei yake kitu kama nusu kilo ni kama sh 50,009 za Tanzania.
 
Kuku ni kuku tu,wapo wa kienyeji na kisasa popote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ