Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

Nje ya
nipo texas apa
aisee kuku wakienyeji kwa nadra sana labda waagize kutoka huko uwapate supermarket wana umbo dogo sana kutokana na maisha yao mchakamchaka kukimbizana na mwewe kunguru nk.,
huku kuku ni wakubwa bila shaka wamekuzwa kihuni na makampuni makubwa $12.5
Mada hivi Texas na new york ipi imejengeka
 
Sio kienyeji halisi kwa maana wanawalisha madawa sana na wao ndio wanzilishi wa kuku za kisasa so vitu vingi vyao sio original . Why unauliza si ugoogle
Ulosema ni kweli tupu. Kuku wa kienyeji, Ulaya wanaitwa free range. Utakuta mtu ana shamba lakini limezungushiwa uzio. Cha ajabu kuku wa nazunguka humo ila wana pewa chakula hiki hiki cha viwandani. Hao Ndiyo wanaitwa wa kienyeji. Bei yake iku juu watu wengi hawanunui. Watu wengi almost 95% wananunua caged chicken meat. Matajiri ulaya wanakula pheasant huku kwetu anaitwa Kwale hao Ndiyo 100% organic na bei yake kitu kama nusu kilo ni kama sh 50,009 za Tanzania.
 
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.

Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?
Kuku ni kuku tu,wapo wa kienyeji na kisasa popote duniani
 
Back
Top Bottom