Mliokasirishwa kuhusu Rais Samia kutoa msaada Uturuki hii sio awamu ya Magufuli



Ndani ya week moja tu bank kuu yao ilipanga kuachia $30 billion kwa kuanzia kuyajenga hayo maeneo.

TV channel za Turkey na zenyewe ziliweza changisha $6.1 billion ndani ya Turkey kwa week moja tu.



Halafu sasa nchi tajiri na zenyewe zikaanzisha harambee ndani kwao; waongereza ndani ya week mbili walipata £101.5 million



Netherlands €89 million in two weeks.

Google sasa uone kila nchi ilitoa kiasi gani kutoka kwa wananchi tu.

Wewe watu wako wanashinda na mlo mmoja uwezi saidia, ndio utasaidia Turkey, pole yako tu inatosha kwa Turkey hana shida na Turkey.

Hiyo michango mpaka leo dunia nzima mpaka sasa hivi inaweza kuwa ata $20 billion + $30 billion ambazo serikali yao iliahidi kutoa mara tu baada ya maafa.
 
Ni Kweli kbs, nao wanaabudu mwezi na wameuweka kbs kwenye bendera Yao.


America wanabudu nyota na ndio maana wameweka katika bendera zao ingawa katika dollars wameandika; In God we trust. 😀
 
America wanabudu nyota na ndio maana wameweka katika bendera zao ingawa katika dollars wameandika; In God we trust. 😀
Nyota ni 25 states zilizopo.

Ingawa Nao wamemwacha Mungu, watapigwa tu kama Turkeyo.
 
Uyu mama anapenda sifa kuliko mtangulizi wake,den la taifa limefika tirion 90 kwenda juu ,mfumuko wa bei unazidi kupaa, hali ya wananchi inazidi kuwa mbaya , watumishi waliongezewa elfu 10 alafu unaenda toa msaa wa mabilion ,
Msimpambe amechemka period
 


Watu mna roho ngumu kama mawe na wala hamtambui thamani ya utu katika shida, mmejawa na roho za choyo na mnasahau kwamba ni Mungu ndiye mtoaji.

Hebu someni maneno haya murua ya Bwana Yesu (as) ili mpate kujifunza na kutakasa roho na nyoyo zenu zilizozibwa na kutu ya uchoyo na ubinafsi.

Kutoka katika Luka 21:1-4.

As Jesus looked up he saw rich people putting their gifts into the temple money box. Then he saw a poor widow putting two small copper coins into the box. He said, I tell you the truth this poor widow gave more than all those rich people. They (rich people) gave all what they did not need. This woman is very poor, but she gave all she had to live on.

Hapo mpate kujifunza kutoka kwa Yesu thamani na maana ya kutoa.
 
Mama huyo mjane na maskini alitoa pesa yake.

Tofauti na huku pesa ni za Umma tena za MKOPO unazigawa bila ridhaa za uliowakopea.

Bunge lipi limepitisha?
 
Acha chuki ya kishamba wakati wa Magufuli alitoa msaada Kwa nchi za malawi na nyingine zilizopata shida ya mafuriko narudia tena Acha chuki ya kishamba.
 
Watanzania ni watu wachoyo sana wasio na utu, unapojitokeza kwenye majanga ya wengine ni akiba maana nawe likikufika utasaidiwa tu, hata hao wazungu wanaochangia bajeti za nchi zetu nchi zao zina shida nyingi tu wana hadi homless na uhaba wa ajira wa kutosha, mtu aliyeumbwa na roho ya choyo ni mbinafsi kupindukia, kuna wakati tuache diplomasia ijengwe upya katika hilo Rais Samia yuko sahihi,
 
Acha ushamba aisee hapo umeandika pumba Acha ushamba.
 
Unaambiwa usitoe msaada kuliko uwezo wako.

Turkey aihitaji msaada wa Tanzania; katika hali waliyanayo leo wanaweza ipa Tanzania ata $100 million na isiathiri chochote kwenye mipango yao ya kujenga maeneo yaliyoharibika wala kwenye kuwaangalia wahanga kwa sasa.

Contrary, Tanzania $1 million moja ikitumiwa vizuri inasaidia watu kadhaa kwenye kutatua shida zao na kuwaboroshea.

It’s about the ethics of what is morally right; ni sawa na kwenda kuchangia kikombe cha maji kwenye mto, hakuna impact yoyote. Wakati aliechota hayo maji alitembea kilometer kadhaa kujaza ndo moja tu nyumbani.
 

..wazungu wana shida lakini sio sawa na sisi.

..sisi tunatakiwa tuwasaidie wananchi wetu kabla hatujafikiria huko nje.
 


Suala la kuipa Turkey msaada ni suala la ubinadamu zaidi kuliko kuwanacho au kutokuwa nacho, ni suala la kuwekeza wema na kwenda zako huku pengine ukitaraji matunda yake hapo baadaye bila kutaraji, ni suala la kuonyesha huzuni na kuguswa na shida za watu, huwezi kwenda msibani mikono mitupu ni ama ujitoe kwa hali au mali nasi tumeweza kujitoa kwa mali-pesa hiyo "kidogo" $1M kulinganisha na nchi zingine, kumbuka dunia ni hii moja tunayoishi leo kwake kesho ni kwako basi kuwekeza hisani ni akiba msibani japo sio leo.
 
Hata Samia akigawa pesa Kwa wananchi. ..bado atatukanwa Tu na wafuasi wa lile kundi ...

Hata akigawa vipande vya Dhahabu Kwa kila Mtanzania bado lile kundi litamtukana tu
Ina maana siku hizi wapingaji si wapinzani tena bali ni sukuma gang tu?
 
Mama huyo mjane na maskini alitoa pesa yake.

Tofauti na huku pesa ni za Umma tena za MKOPO unazigawa bila ridhaa za uliowakopea.

Bunge lipi limepitisha?


Nataka niamini kwa mujibu wako suala la kuipatia msaada Turkey sio suala la kibinadamu bali ni suala la kisiasa au to be precise ni suala la kidini kwani Turkey is a predominantly muslim country, mbona hampigii kelele juu ya msaada wa tani za mahindi zilizopelekwa huko Malawi huku hapa nchini bei ya sembe iki shoot to more than 2,000 shs/kg??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…