butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Kwanza hiyo pesa ya rambirambi katoa kwenye mfuko upi wa serikali bila idhini ya Bunge?Anaweza kutoa pesa yoyote ikizingatiwa kwamba hakuna athari zozote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hiyo pesa ya rambirambi katoa kwenye mfuko upi wa serikali bila idhini ya Bunge?Anaweza kutoa pesa yoyote ikizingatiwa kwamba hakuna athari zozote.
Pesa za Umma ziheshimiwe. Kila siku mnatembeza bakuli, mkizipata mnaziiba na kuzitapanya kama karanga!!!!Billion 2 si ni 0.001 ya makusanyo ya ndani hivi kweli inahitaji kukopwa hiyo?
Punguzeni chuki sukuma gang
Malawi ni Nchi MASKINI, Turkey ni MATAJIRI, tumetoa mahindi Malawi, bt uturuki tumepeleka pesa.Nataka niamini kwa mujibu wako suala la kuipatia msaada Turkey sio suala la kibinadamu bali ni suala la kisiasa au to be precise ni suala la kidini kwani Turkey is a predominantly muslim country, mbona hampigii kelele juu ya msaada wa tani za mahindi zilizopelekwa huko Malawi huku hapa nchini bei ya sembe iki shoot to more than 2,000 shs/kg??
Tunakosoa sana tu unless hufuatilii thread zetu humu, tatizo ni Hawa sukuma gang wao wanapinga Kila kitu kisa tu aliyefanya sio JPM. Unadhani angetoa hizo pesa JPM asingesifiwa kuwa kavunja rekodi Tanzania kuwa donor country!?Ina maana siku hizi Chadema sio wamepumzika kupinga na kukosoa na kuwaachia sukuma gang? Maana kila anayekosoa ni sukuma gang tofauti na mwanzo ilikuwa chadema.
Kutoka nchi masikini hadi kiwa donor countryHakuna tofauti na alichofanya mama ,kwa hali yetu hatujafikia kuwapa pesa Uturuki
Hizo $1 million ndio zikikutana na za Nchi zingine zinapandisha total kuwa billions so every cent matters.Sasa wewe hiyo $1 millioni moja yako ina faida gani, bora ata wangeitoa kimya kuliko kututangazia maana ni kuchezea tu hela kwa nchi maskini
Wataelewa siku wakipata shida..... Mind you Nyerere aliwahi saidia nchi za Africa mpaka Biafra, Saharawi, sauzi, msumbiji, kwani tulikua matajiri??Pesa za Umma ziheshimiwe. Kila siku mnatembeza bakuli, mkizipata mnaziiba na kuzitapanya kama karanga!!!!
Kuna Watu wanalala njaa, Leo wasikize Serikali inasaidia matajiri wataelewa nn!!!
Kwani hao ni business partners?Maafa kama haya yametokea katika Syria, Pakistan na Afghanistan Je tumewasaidia?
Wizara ya mambo ya nje, miscallenous expenditures.Kwanza hiyo pesa ya rambirambi katoa kwenye mfuko upi wa serikali bila idhini ya Bunge?
Mleta mada ni mjinga, bila kututajia waliokasirika naongezea tena, mleta uzi ni mpumbavu
Nathibitisha tena kwamba, mleta uzi ni miongoni mwa watanzania wajinga na wenye mwelekeo wa udiniudini tuu!
Kwani hakuna aliyenuna wahanga kupewa msaada! Ila kuna hoja jadidi kuhusu hilo iwapo kweli nasi twaweza kutoa msaada!
Ukimuuliza hata yeye mleta uzi kwamba, Tanzania inaweza bila kuwezeshwa? Bado atakwambia tunahitaji misaada mingi tu bila idadi kwa sababu sisi huwenda ndo tunahitaji msaada kuliko hata wahanga wa tetemeko
Kwanza hiyo pesa ya rambirambi katoa kwenye mfuko upi wa serikali bila idhini ya Bunge?
Kuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na hayazuiliki kirahisi.
Tunasahau kuwa leo kwao kesho kwetu, tusipojitoa kwa kidogo chetu siku yatatukumba ni nani atatukimbilia? Famasiala nini? Usiombe yakukute.
Mtu analeta hoja za kijinga eti tunatoa msaada wakati vitu vimepanda bei, hizo bilioni 2.3 ndo zinawahenyesha na kuwatoa watu mapovu hivi? Bilioni 2.3 zinaweza vipi kupunguza bei ya unga au vitu kupanda kama sio roho mbaya tu?
Tumezoea kupewapewa tu, na sisi siku moja tukijitoa sio mbaya!! Tatizo bongo wengi hawajui diplomasia ya kiuchumi, Samia sio hayati mwendazake yule ambaye hela za tetemeko rambirambi alikula yeye na genge lake bila aibu. Alikuwa rais wa hovyo sana na hakuwa na hata na chembe ya aibu usoni na moyoni mwake.
Tujikumbushe [emoji1313][emoji1313][emoji1313]: "Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kufanya jitihada za kujijengea nyumba zao wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali. Mkuu wa Mkoa amedai kuwa jumla ya fedha zilizochangwa ni zaidi ya Bilioni 5.4 na kusema kuwa zimeelekezwa katika kukarabati miundombinu ya taasisi za Serikali na kuwataka wananchi wanaosubiri msaada wa serikali kusubiri mchango itakayotolewa na wadau walioahidi kuwasaidia waathirika moja kwa moja."Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma
Wakuu, Kuna habari picha ambayo inasambaa mitandaoni (hususani Whatsapp) yenye maneno kuwa.. "Serikali imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kujijengea wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali." Picha hiyo ni ya kutoka ukurasa wa...www.jamiiforums.com
Uturuki wametusaidia mangapi nchi yetu tokea uhuru? Yaani tatizo ni hiko kibilioni 2.5 ndo tunang'aka kiasi hiki angetoa bilioni 100 jee??
Kuna watu hawafurahii utawala na mageuzi aliyoyafanya Rais Samia hususan maridhiano na kurudisha maridhiano na demokrasia iliyokuwa imeporwa na dikteta katili wa awamu ya tano. Hawa Sukumagang ndio wanaopinga kila kitu. Mimi naona kama wamenunishwa na maridhiano kati ya Chadema na Mama, basi wahame nchi.
Hilo la kupinga kila kitu tulizowea kusikia wakiambiwa chadema kuwa ndio wapingaji wa kila kitu tokea kipindi cha Kikwete huko ila sasa hivi Sukuma gang wanaonekana ni wapingaji wa kila kitu na sio chadema tena, yani kuna wakati hata wale chadema kabisa wanajikuta wanaitwa sukuma gang kwa sababu ya kukosoa baadhi ya mambo kama maridhiano.Tunakosoa sana tu unless hufuatilii thread zetu humu, tatizo ni Hawa sukuma gang wao wanapinga Kila kitu kisa tu aliyefanya sio JPM. Unadhani angetoa hizo pesa JPM asingesifiwa kuwa kavunja rekodi Tanzania kuwa donor country!?
Wanyamulenge mna roho mbaya sanaHilo la kupinga kila kitu tulizowea kusikia wakiambiwa chadema kuwa ndio wapingaji wa kila kitu tokea kipindi cha Kikwete huko ila sasa hivi Sukuma gang wanaonekana ni wapingaji wa kila kitu na sio chadema tena, yani kuna wakati hata wale chadema kabisa wanajikuta wanaitwa sukuma gang kwa sababu ya kukosoa baadhi ya mambo kama maridhiano.
Lakini pia hizo hela angetoa Magufuli nyie mngemkosoa kwa sababu hakuwa na jema kwenu.
Wakasirishwe Kwa Ajili ya Msaada ? Huo si utaahira Sasa.Kuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na hayazuiliki kirahisi.
Tunasahau kuwa leo kwao kesho kwetu, tusipojitoa kwa kidogo chetu siku yatatukumba ni nani atatukimbilia? Famasiala nini? Usiombe yakukute.
Mtu analeta hoja za kijinga eti tunatoa msaada wakati vitu vimepanda bei, hizo bilioni 2.3 ndo zinawahenyesha na kuwatoa watu mapovu hivi? Bilioni 2.3 zinaweza vipi kupunguza bei ya unga au vitu kupanda kama sio roho mbaya tu?
Tumezoea kupewapewa tu, na sisi siku moja tukijitoa sio mbaya!! Tatizo bongo wengi hawajui diplomasia ya kiuchumi, Samia sio hayati mwendazake yule ambaye hela za tetemeko rambirambi alikula yeye na genge lake bila aibu. Alikuwa rais wa hovyo sana na hakuwa na hata na chembe ya aibu usoni na moyoni mwake.
Tujikumbushe [emoji1313][emoji1313][emoji1313]: "Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kufanya jitihada za kujijengea nyumba zao wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali. Mkuu wa Mkoa amedai kuwa jumla ya fedha zilizochangwa ni zaidi ya Bilioni 5.4 na kusema kuwa zimeelekezwa katika kukarabati miundombinu ya taasisi za Serikali na kuwataka wananchi wanaosubiri msaada wa serikali kusubiri mchango itakayotolewa na wadau walioahidi kuwasaidia waathirika moja kwa moja."Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma
Wakuu, Kuna habari picha ambayo inasambaa mitandaoni (hususani Whatsapp) yenye maneno kuwa.. "Serikali imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kujijengea wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali." Picha hiyo ni ya kutoka ukurasa wa...www.jamiiforums.com
Uturuki wametusaidia mangapi nchi yetu tokea uhuru? Yaani tatizo ni hiko kibilioni 2.5 ndo tunang'aka kiasi hiki angetoa bilioni 100 jee??
Kuna watu hawafurahii utawala na mageuzi aliyoyafanya Rais Samia hususan maridhiano na kurudisha maridhiano na demokrasia iliyokuwa imeporwa na dikteta katili wa awamu ya tano. Hawa Sukumagang ndio wanaopinga kila kitu. Mimi naona kama wamenunishwa na maridhiano kati ya Chadema na Mama, basi wahame nchi.
Okay ila sukuma gang wangemsifia si ndio? Hapo hauoni unafiki wao??Lakini pia hizo hela angetoa Magufuli nyie mngemkosoa kwa sababu hakuwa na jema kwenu.
Waliokua wanasema Chadema wanapinga Kila kitu ni sukuma gang sio wananchi!! Maana upinzani obviously watapinga ujinga wa chama tawala it's not news.Hilo la kupinga kila kitu tulizowea kusikia wakiambiwa chadema kuwa ndio wapingaji wa kila kitu tokea kipindi cha Kikwete
Yes kama ambavyo hata sie Wana Chadema tukisifia tu zuri la Samia tunaambiwa tumelamba asali na kejeli kama hizo.yani kuna wakati hata wale chadema kabisa wanajikuta wanaitwa sukuma gang kwa sababu ya kukosoa baadhi ya mambo kama maridhiano.
Kwani lilitokea Jana au juzi kwanza tulisha lisahau ndio nasikia msaada sikuzote zile mlikuwa wapiKuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na hayazuiliki kirahisi.