Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Weeee thubutu, usijaribu dadaangu, huyo mtoto ulishamuomba msamaha sana....kama hataki we acha tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mtoto hatamsamehe kama baba hajasamehe, kikubwa ajitoe mhanga hata kama ndoa itavunjika basi itakua ndio malipo yake ila ataishi kwa amani kwakua ameshatoa ya moyoni. Hata hivyo kama mzee ameshatilia wasiwasi akiongea vizuri na huyo mtoto lazima ipo siku atamfungukia tu na yatakua makubwa zaidi.
 
Ukitekeleza hili jua ndo imekwisha, weka uso mdudu na dogo mwache ajishongondoe.Kwa kuwa kama kweli umeacha acha maisha yaendelee yalivyo na usipoteze muda kumbembeleza utashtukiwa zaidi
Na dogo lazima ipo siku atafunguka tu
 
Mke wangu nahisi atakuja nifanyia huu ujinga tokea apate kazi ,naona changamoto sana ,ila acha nitafute plan B kwanza
 
Ukweli humweka mtu huru ,umekuwa mtumwa wa mtoto wako mwenyewe
 
Hizi stori mbona kama tunapangwa..msije kuwa mnatunga stori huko..then mnawachora watu wanavyochangia..
 
Labda dogo anayajua mabaya yako mengi.
Na changamoto dogo ni wale dady father hapo lazima unyooke na vile unamdekeza ndo kabisaa.

Anza wewe kumwambia mumeo kisa cha yeye kukuchukia, edit story iwe upande wako.

Hilo la kuhusisha sijui wazee gani itakua sio siri tena, utafanya dogo aropoke hata yale uliyodhani hajui ili tu akushinde kwa hoja.
Ni bora mkalimaliza kifammilia kuliko kulipeleka nje.
Na jambo hilo limeshapoa.


Na kibaya zaidi unasema eti dogo hawezi kumwambia baba yake, ni bora ukae tayari na uongo wako at anytime bomu linalipuka huyo mtoto sio wa kumuamini kiasi hicho, likimshinda anamwambia yeyote tu.

Sasa uchague kipi bora, mumeo asikie huko nje wewe uje kufanya utetezi au umwambie wewe dogo aje kufanya utetezi.

Mungu huwafundisha wanawake uaminifu kwa njia ngumu sana.
Wewe ni wa pili wiki hii kuleta uzi mkijutia na kuacha uzinzi.

Pole sana, naamini mwanamke hakuumbwa kwa ajili hiyo ndio maana majanga yenu huwa ni makubwa na yanawaathiri sana kihisia.
 
Unadhani kwa hilo tukio dogo ataoa hivi karibuni?? Mama yake tu anazagamuliwa dukani tena bila hata kufunga milango, mtu mzima kabisa tena mwanakitengo.

Aje amuamini mwajuma ndala ndefu na amuoe kabisa, sijui labda ***** atuambie kama mwanae ana hata mchumba kamtambulisha.
 
Mtafutie I kazi aondoke nyumbani huyo ni grown man ,halafu hata kama akisema kataa usije ukakubali maadamu ulishaacha huo upuuzi,ila huyo mtoto hawezi kukupenda tena,SI mtu wa kudanganyika na vitu vidogo vidogo ,ila hataweza kusema Hilo jambo ni ngumu ila huenda likamfanya asipende wanawake na kuwaamini tena maishani mwake,mtafutie msaikolojia ,umempa mzigo mkubwa sana.chunguza kama unaona anagirl friend utanipa mrejesho
 

Uliyakoroga, yanywe tu. Maana umesema ni kawaida yako kuchepuka. Ina maana ulijua unamtenda mume, sasa karma inadeal na wewe. Mwanao kaona upupu wako, zengwe lako.
 
zambi ya kuzini ni hatari kwani ni sumu katika familia,mtoto ana fikiria vingi katika maisha yake kwani umri wake ni mtu mzima, ana anza kujifikiri ,je yeye kweli ni damu ya mzee wake?, je ndugu zake kweli ni damu ya mzee wake!? kwani mpaka una amua kuzini dukani ana ona kuna kitu hakipo sawa,kiufupi umemuathiri kisaikolojia,kiufupi hakuna siri ya watu wawili ipo siku itabumbuluka tu ,labda atakaa kimya kuinusuru ndoa yenu .pole sana mshangazi
 
Nipe namba ya huyo mwanao. Mimi n mtaalamu wa Saikolojia. Njoo Pm
 
Ulikosea.
Najua unachotamani ni mumeo afe ili uwe huru.

Achana na hisia mbovu. Fanya kazi zako siku likisanuka ukatae kwa kila hali, usijaribu kuwahusisha watu wengine.

Sasa uache uasherati.
 
Mtoto katumia akili sana kumnyoosha mama ake aache umalaya Kwny ndoa yake
Hajaacha mkuu, amesema ni kawaida yake, ushahidi kuwa hajaacha umalaya ni kutokana na kumlaghai mwanae na vizawadi had leo hii, mtoto kumlia buyu had leo hii,na kushirikiana na yule mchepu kumhonga milion kijana wake, mwisho kijana ameshamsoma mamaake ni "pritenda" kwa babaake, Angekua ameacha asingeona thaman ya kumhonga honga mwanae, angekua na akili ya kujua kakosea na angekua keshapata suluhisho ndani ya mwaka uleule alipofumaniwa, hivyo mtoto amekua "ndani" ya upendo fake anaouona waziwazi kwa mamaake...ndio maana hana furaha hadi leo, tofauti na hapo..hii itakua "chai ya asali" ni tamu ila haina utamuchai wenyewe
 
Ulikosea.
Najua unachotamani ni mumeo afe ili uwe huru.

Achana na hisia mbovu. Fanya kazi zako siku likisanuka ukatae kwa kila hali, usijaribu kuwahusisha watu wengine.

Sasa uache uasherati.
Wewe unafikiri hata akikataa ndo ataaminika kwa familia na mumewe?.
Yaani unadhani familia na mume wanaweza kudhani eti Mtoto anamsingizia mama Uzinifu na kitu kikubwa kama hicho?. Kila mtu ataside na mtoto maana hawawezi kuamini eti mtoto kaliibua hilo hivihivi. Ni ngumu sana mtoto wa kiume kumzushia mama yake kitu kama hicho.

Halafu hata akikataa, imani ya mume na familia kwake haitokuwepo na isitoshe mume atauliza mtoto kakusingizia hili ili iweje?, na atavuta memory uhusiano mbovu wa mtoto kwa mama yake ataconnect dots
 
Kama watu wote wa wizarani wanaandika kindezi kama wewe, bas ndo maana hii nchi inaliwa kiboya.
Subiri siku yako mumeo akiwa anakukata mapanga af dogo kashika miguu ili usikimbie.
Faken!
Khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
M
Ndiyo maana mimi huwa ninamuelewa sana Billionaire KIDUKULILO. Maandiko yake huwa ni tiba kwa wenye msongo wa mawazo.
Kwa uandishi huu kweli,halafu unafanya kazi wapi?

Basi sawa,huyo kijana wako km ni kweli,siyo kwamba anakuchukia wewe tu,bali wanawake wote na hatakuja kuoa kutokana na upuuzi wako uliofanya. Hana imani na mwanamke yeyote ikiwa mama yake aliweza kufanyia ufusika ofisini kwake (chumbani kwa mme wake), ni mwanamke gani tena atamuamini kuliko mama yake.

Hilo unalosema kuwa ni tatizo siyo tatizo bali tatizo kubwa zaidi ni hili;
1; Umemsababishia mtoto wako tatizo la kisaikolojia,mtafutie matibabu na huo ndo mshahara wa dhambi.
 
S
Siyo wivu,wanaume hatupendi kudharauliwa hasa na mke. Kufikia kukufanyia hivyo ni kwamba amekuona wewe si lolote still bado yuko chini ya imaya yako.
 
Ulikosea.
Najua unachotamani ni mumeo afe ili uwe huru.

Achana na hisia mbovu. Fanya kazi zako siku likisanuka ukatae kwa kila hali, usijaribu kuwahusisha watu wengine.

Sasa uache uasherati.
Uko sahihi.Huyo mama anatamani mume afe tuu Ili awe huru moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…