Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Hizi thread za kuwacheat waume zenu mkikamatwa mnakuja kulia lia humu mbona nyingi sana siku hizi? Ni kama mko proud na mnachokifanya sio?

Kiukweli pambaneni na hali zenu, binafsi sinaga ushauri kwenye mambo kama haya.
Binafsi huwa natamani members wote wa MMU tukubaliane, mtu akishusha uzi kama huu comments zote jibu liwe ni " Sawa "
[emoji16][emoji16]
 
Ndo mana nimemwambia awe mpole, dogo nitakuja kumwambia ukwel ila cdhan kama ataweza kuhimili hili kama mimi. Ila kwa mzee acha iendelee kuwa siri tu.
Pia mwabie kuwa huyo anayejifanya shemeji kuwa , Baba kalea mtoto na kughalamia kwa pesa yake.
Hapo tunafanyaje sasa.
Muangalie atafanya nn
 
Ndo mana nimemwambia awe mpole, dogo nitakuja kumwambia ukwel ila cdhan kama ataweza kuhimili hili kama mimi. Ila kwa mzee acha iendelee kuwa siri tu.
Ukimwambia akiwa mkubwa huyo dogo nirahisi mwenyewe kubalance mambo kwa mzee wako na kwa huyo jamaa ili mzee wako asijue kabisa.
 
Mama ana heshima yake bana, mtoto wa kiume uje ujue kama mama yako mzazi analiwa na mijitu mingine huko ni dharau kubwa sana.
 
Pole sana, hii sio situation ambayo mtu unaweza kutaka ikupate.

Mm kwa uono wangu, dogo anazidi kua na hasira unapozidi kujibaraguza baraguza. Miaka 10 ni mingi ulipaswa kua umeshajisamehe, umesahau hata mtoto nae angeshasahau. Unavyozidi kupambana kum plz unazidi kum remind na anahisi hata hizo zawadi na gari unazompa unapewa na michepuko yako.
Amerudisha hio gari maana anajiona mwenye hatia kuendesha gari ambalo mamaake amehongwa, anajiona anakua msaliti kwa baake mzazi.

Kitu kimoja nnachokijua ni kua despite all that, dogo anakupenda kama mamaake otherwise angesha choma utambi kwa babake ww ukapata haki ya usaliti wako.

Jisamehe, sahau. Usiongelee hilo suala kwa mtu au yy mwenyewe mtoto. Unadhani single mothers wanaishije na watoto wao ambao wanajua kabisa jamaa fulani ni boyfriend wa mama zao..

Ww una li amplify kila mara unapoliwaza na kulizungumzia kwa mtoto.

Asante [emoji120]
 
Huu ushauri usithubutu kuutumia, hivi waga mnawaamini vipi hao watu wa kanisani? Sijui wazee wa kanisa?

Kwa taarifa yenu hao watu ni waongo wa kutupwa! Wasio kuwa na vifua vya kuhifadhi Siri ya mtu( kama hutaki acha) ila Siri nyingi hasa za mambo ya ndoa wao ndo huzivujisha.

Binafsi nawaamini sana wazazi, mzazi ni ngumu sana kutoa Siri kama hiyo ya aibu. So amchukue kijana wake aende nae kwa wazazi kama wapo lkn( bibi na Babu wa kijana upande wa mama) then Kila kitu kitaishia huko na hamna Siri itatoka.

Ila ninachokiamini kwa umri wa kijana aliofikia hawezi Tena kutoa Siri hiyo kwa baba yake, kama ni kumwambia angeshamwambia kipindi akiwa mtoto kwa sasa hawezi kamwe!
 
Najua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.

Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Kijiko ni kijiko sio chepeo
Mwanao anakuona Mal..ya
 
hicho ndo kilinifanya niishiwe upendo kwa mama na home kiujumla. Mwaka wa tano huu sijaenda nyumbani kusalimia simu zisizo na kikomo za lini unakuja sana najibu "nimekaribia kuja" , maana hata hisia za kwenda home sina na ni karibu tu, masaa matano......
 
Hizi thread za kucheat aisee ,nikiangalia na movie la kanumba la "moses" aisee nafika mbalii
Napata sumu kalii mpk nahisi swala la mahusiano kwangu inakuwa gumu


Then

1 Pole kwa yaliyokukuta nafikiri kijana atakauwa kama moses (picha la kanumba) hataamini wanawake

2 Hapo kaa kimya umri Alionao hawez kusema kokote kama kuvumilia 10 years

3 Jinsi ya kurudisha mahusiano na mtoto kwakwelii hapo ni kipengele sana




Notee


jipange kwa lolote litakalotokea , maana ishu inakoenda siko
 
Kwani huna kaka,(wajomba wa dogo,)kama huna nichukue niwe mjomba wake wa hiali,halafu namuita mkoani,kila siku nakuwa naye kwenye mizunguko yangu kumuonyesha maisha yalivyo,mwisho nitaongea nae kuhusu wewe dada yangu,akifunguka tu kesi closed,nitafute nikumalizie msala mdogo sana huo
 
Mpumbavu unazid kujianika mpaka humu, huyo mwanao first born wako ameshaona hili bandiko lako humu,

Huna adabu wewe, mi mwenyewe Rika la mwanao natafta majimama msokuwa na adabu kama wewe muwe kitoweo changu, niwatie mboo mpaka msahau mabwana zenu
Wewe nawe acha uchizi wako, kanijianika wapi, si anaomba ushauri, we unajua hata jina na sura yake kwa kusoma humu??
 
'Ni kawaida yangu kucheat..'
We mama sio mzima kichwani

We cheat only when we fall in love and there is intese chemistry sio tu unalala na kila mtu.,ili iweje?
 
Pole sana! Ndiomana huku wanaume hawatuamini chanzo ni nyie mama wakwe hamjatulia [emoji18]
 
Anyways hii issue ipotezee tu, sema na Mungu wako
uzuri kijana kashakua atayaona maisha mwenyewe
Na ht km akikusemea kwa Mr kanusha tena umuonye kijana asikukosee adabu
 
Binafsi huwa natamani members wote wa MMU tukubaliane, mtu akishusha uzi kama huu comments zote jibu liwe ni " Sawa "
[emoji16][emoji16]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli lakini haiwezekani, hizi thread zinapita na emotions za watu mtu unajikuta tu unashusha gazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…