Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Chai
 
We utakuwa konki
 
Aisee
 
Bora umekubali kwamba wanawake wengi ndo chanzo cha matatizo kwenye ndoa, na ndio huwa vinara wa ku-cheat na Umalaya... yakiwashinda mnaenda kujazana na kumuongezea utajiri wa bure ndugu Mwamposa kule kawe.

Na hivi... Kwa akili ya harakaharaka unadhani huyo kijana wako atakuja kuamini mwanamke yeyote maishani mwake tena?!

Na kuna siku ulivyo kichwa mkaa utamuita kikao umuulize "Utaoa lini mwanangu?"

#NoWomanNoCry#*****!
 
Aise mahali alipotoka mtoto wako halafu aje jamaa jingine kumega hapo hapo na baba yupo tena wa ndoa ..aise hata mimi nitakuchukia tuu na sitokusamehe kamwe.
 


Kamuulize Mama yako ushauri maana ndo anajua chimbuko la Umalaya wa familia yenu mpaka unajisifia Umalaya dukani.
 
Kumbembeleza kote katia kiburi. Ni mtoto wa kumzaa mwenyewe. Ningekuwa mimi sasa, angekuwa yeye ndp ananiomba samahani kwa kunifumania.

Mnalea watoto kama kuku wa kisasa. Huo muda sina.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Uyo Mtoto yupo humu na ndo kiongozi wa kataa ndoa HUMU sie wanaume uwa tuna msemo ALL GIRLS ARE BITCHES EXCEPT MY MOMMY.......Sasa apo kijana ana jifill aje kwa mfano...Mungu amsaidie aisee
 
Utaumbuka mama usishirikisha mtu yyte hiyo ishu
 
Mama nimkute na baba yangu mzazi wakiwa wanafanya yao hapo ni shwaari na ninawapenda zaidi kwa kuona wapo pamoja, sio na dume jingine daah hapo lazima nikuchukie tu.
Tena afadhali nimkute father akiwa na mchepuko wake angalau sitamind sana
 
Mama nimkute na baba yangu mzazi wakiwa wanafanya yao hapo ni shwaari na ninawapenda zaidi kwa kuona wapo pamoja, sio na dume jingine daah hapo lazima nikuchukie tu.
Tena afadhali nimkute father akiwa na mchepuko wake angalau sitamind sana
Unajua changamoto za babako kwenye ndoa yao? Mengine acha tu yapite. Hienda baba umeme ulikata kitambo halafu mama ana njaa kishenzi. Atafanyaje?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Pole

Kiwango alichokupenda ndicho amekuchukia
 
Shukuru huyo mtoto mpaka sasa hivi hajapata ujasiri wa kukutoa uhai, mtoto hawezi kamwe kukubali kuona mali za baba yake kuna njemba anajisevia tuu ilihali baba yake yupo anapambana kujutunza wewe na familia .

Shukuru huyo mtoto bado shetani hajamuingia vizuri, siku shetani akimuingia hakika wewe au huyo njemba tutawaimbia parapanda.


WANAUME TUNAWIVU SANA , HAIJALISHI NI MTOTO AU MTU MZIMA
 
Kwa hili hakuna wa kukusaidia zaidi ya Yesu Kristo.
 
Kuna rafiki angu aliwahi nishirikisha juu ya kuwa mke wake na mwanae hawaelewan kwa muda na anatafuta kujua chanzo ni nini kwani amekua akiona utofauta wa kutoelewana especially kwa mtto wa kiume hataki kabsa kumuona mama ake wala kushiriki nae chochote alishajaribu kumuuliza kijana ila kjana alisema yuko sawa,kupitia huu uzi ninawasiwasi ukawa ni wewe,, taratibu majibu naanza kuyapata nitalifanyia kazi nipate kuujua ukwelu kama ni ww basi chanzo chake kitakuwa kimetatuliwa. Asante
 
Je ameshamaliza kusoma? Kama ndiyo fanya hima apate kazi; fanya hima aoe ili aondoke nyumbani..huko kwake au akiwa mbali na wewe ile chuki itaendelea kupunguza...hata yeye ataanza kuchepuka na ataelewa kwanini na wewe ulichepuka.
 
Miaka 26 bado kijana yuko nyumbani? Mtumeeee Ndio maana anachukia mama yake kuchakatwa sababu nayy bado hajachakata mbususu za kutosha, fanya hima aondoke akajitafutie apartment ajitegemee aanze kuingiza kazi juu ya kazi!
 
Kumbembeleza kote katia kiburi. Ni mtoto wa kumzaa mwenyewe. Ningekuwa mimi sasa, angekuwa yeye ndp ananiomba samahani kwa kunifumania.

Mnalea watoto kama kuku wa kisasa. Huo muda sina.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Maumivu ya mtoto wa kiume kuona mama yake anachepuka yanaweza kuzidi hata maumivu ya kusalitiwa na mke wake atakapooa, kwakua mke anaweza kumtimua ila mama hataweza kumtimua na kumuambia mzee wake atahofia kuleta mgogoro kwenye familia.

Kikubwa ukikubali kuolewa tulia, kama unajua huwezi kutulia bora usiolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…