Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Kwanza ujue unavyompa hizo zawadi za aina hiyo unaamsha hasira kinoma, na kashakuwa mtu mzima, gari mpaka anawaza yani jamaa limefanya hivi halafu wananinunulia gari.

Cha msingi we endelea kujikausha hivyo hivyo, Muombe Mungu tu. Mwanao hata akioa atakuwa haamini tena wanawake kabisa.

Ni mtu mzima mwache akomae na mishe zake. Issue kama hiyo hata kuwasimulia rafiki zake wampe ushauri hawezi.

Kuna rafiki yangu alikuwa na case inafanana hivyo akanishirikisha. Nikamwambia 'chill', uache muda ukutibu, naona baadae kumbu kumbu zilifutika.

Uzuri ulichukua hatua kukiri kosa na kumwelewesha inatosha. Acha muda uamue, ni mwanao haupaswi kuishi kwa hofu hivyo.

Na ana busara, toto lililopinda si ndio lingeamua kuku black mail kila siku bill na kuomba hela.
 
Zee la miaka 26 linafanya nini nyumbani?
Inategemea na standard za familia yao.
Kama wana jengo la kisasa lina suites za kutosha na lipo town kwanini aondoke?

Kumbuka hatujui kama bado anakaa home, tukio kaliona akiwa teenager, kapewa gari unaskia after 2 weeks karudisha. Chalii ni mwanaume wa shoka.

Kavumilia mengi kumuona tu bi mkubwa mapaja ndani ndani ni kalaana kiafrika, sasa umeona kajilegeza anashikwa analia ahsiii aiii bebi, na baba anaitwa bebi.

Mpaka unakaa sometimes unawaza dah dingi yangu ni fala, mama yangu kafanya ukaha** hii haina athari kiroho siku za mbele.

Ukute mijamaa inayokataa mwanamke kuendelea na kazi baada ya kuolewa waliona movie kama hii vividly kwa familia.
 
Inategemea na standard za familia yao.
Kama wana jengo la kisasa lina suites za kutosha na lipo town kwanini aondoke?

Kumbuka hatujui kama bado anakaa home, tukio kaliona akiwa teenager, kapewa gari unaskia after 2 weeks karudisha. Chalii ni mwanaume wa shoka.

Kavumilia mengi kumuona tu bi mkubwa mapaja ndani ndani ni kalaana kiafrika, sasa umeona kajilegeza anashikwa analia ahsiii aiii bebi, na baba anaitwa bebi.

Mpaka unakaa sometimes unawaza dah dingi yangu ni fala, mama yangu kafanya ukaha** hii haina athari kiroho siku za mbele.

Ukute mijamaa inayokataa mwanamke kuendelea na kazi baada ya kuolewa waliona movie kama hii vividly kwa familia.
Nimekosoma mkuu. Kweli kiafrika kwa mtoto wa kiume kugundua mama yake anachepuka ni kitu kitamtafuna sana. Kumfahamu hawara wa mama ni kitu kibaya. Huyo jomba kumkuta mama yake anataka kuliwa mzigo ni doa kwenye maisha
 
Walisema mshahara wa dhambi ni mauti.Hizi dhambi tunazipenda sana lkn zinatutesa sana, angalia kama hapo, mme unaye, familia unayo, watoto n.k lkn bado unachepuka...na furaha na amani huna.Mtoto wa kiume kuona au kuhisi mama yako mzazi anachepuka ni laana kabisa na inaleta msongo wa mawazo..huyo kijana kama hajawa na busara utampoteza- utashindwa kumshauri chochote kuhusu hayo mambo
 
Kwani wakati unaambiwa au unasoma soma vitabu vya dini kwamba zinaa ni mbaya msisaliti waume zenu ulijua ni utani au mm sina

Cha kukushauri hapo mwambie Mumeo hyo inshu then omba msamaha
 
Dogo aliisha jua kumbe mama yake ni changudoa/malaya tu, wala huwezi kutibu hilo jeraha litabaki maisha yake yote. Anaweza asiseme kwa yeyote lakini athari yake ni kubwa kwa dogo, hata akioa hatomuamini mkewe kwasababu kaona hata mama yake anayemuamini kaweza kujiuza kirahisi iweje huyu aliye naye.

Dogo ata mpenda sana baba yake kwasababu ya sympathy, anamuona dingi mtu wa maana , anapambana kutusomesha na life yote kumbe mama linajiuza mitaani.

Halafu sasa haamini kwamba kama wao huyo wanayemuita baba ni baba yao kweli, inamuondolea uhakika hata uhalali wa kumuita baba yake baba.

Kama mama yake malaya nani anaweza kujua nani baba yake huko barabarani?

Iko siku ataomba mkapimwe DNA nyumba nzima, ili kutuliza akili yake. Na bahati mbaya ukute uliwazaa kama ng'ombe utajuta.
 
Tengeneza mahusiano mazuri na Mungu kwanza kisha ukishafanya hivyo Mungu wa mbingu
na Nchi, mwenye enzi zote atakwambia chakufanya.
 
IMG_20240617_183944.jpg
 
Daa hii kitu kinanikumbusha issue ya rafiki yangu mmoja wa church.
Daaa wao kwao wapo 4.

Sasa mama yao kipindi kapata ujauzito wa nne mpaka kujifungua.
Baba yao ni mtu wa kusafiri sana.
Sasa dogo kipindi anakuwa mtoto wake wa kwanza wa kiume akaanza kumfananisha na mzee wa kanisa. Kadri anavyokuwa yule mtoto kweli alifanana na mzee wa kanisa , Baba yao hakushituka .
Ila mtoto wa kwanza wa kiume alishituka.
Daaa mwishowe alishidwa kuvumilia si akamwambia Baba yake, kuwa huyu mdogo wetu mimi namfananisha na mzee wa kanisa.
Baba yake kuangalia vizuri akaona kweli kabisa.

Mwishowe ndoa ilivunjika maana mkewe alizaa nje.

Mama sisi wanaume tunawivu sana, sawa na mwanaume akioa single mother mwenye mtoto wa kiume , huyo mtoto ni ngumu kumpemda step father maana anaona kama unamla mama yake. Hasa baba yake mzazi akiwa hai , atakuchukia tuu.
Pole mama. Ngoja waje watu wazima watakushauri.
Yaani so sad haya mambo ya Wanawake huwa yanachanganya sana sijui kwann huwa wanaingia kwenye huu mtego?
 
Back
Top Bottom