Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Kumbembeleza kote katia kiburi. Ni mtoto wa kumzaa mwenyewe. Ningekuwa mimi sasa, angekuwa yeye ndp ananiomba samahani kwa kunifumania.

Mnalea watoto kama kuku wa kisasa. Huo muda sina.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Maumivu ya mtoto wa kiume kuona mama yake anachepuka yanaweza kuzidi hata maumivu ya kusalitiwa na mke wake atakapooa, kwakua mke anaweza kumtimua ila mama hataweza kumtimua na kumuambia mzee wake atahofia kuleta mgogoro kwenye familia.

Kikubwa ukikubali kuolewa tulia, kama unajua huwezi kutulia bora usiolewe.
 
Una mitoto mikubwa hivyo,unacheat ili iweje?Lako hili Mayu.Linywe ulimalize.
 
Miaka 26 bado kijana yuko nyumbani? Mtumeeee Ndio maana anachukia mama yake kuchakatwa sababu nayy bado hajachakata mbususu za kutosha, fanya hima aondoke akajitafutie apartment ajitegemee aanze kuingiza kazi juu ya kazi!
Kumbe kuna Umro ukifika Ukimfumania mama yako Utaona ni kitu cha kawaidaa tu????
 
Utamu wa sekunde tu jamani,halafu si ana mme.Libolo si analipata kwa mme wake jamani.
Wewe nani kakwambia utamu wa sekunde...oh kuna wanaume wanasimamja mbususu masaa yaani mpaka mapaja ya mrembo yana vibrate🤣🤣🤣🤣
Una dhani wanaume wote kama mzabzab chwa chwa chaliii 🤣🤣🤣🤣

Mume ana ladha yake na mcheps ana ladha yake. Kwanza mume ameshakuzoea so huna jipya kwake lakinicheps anavyo kushika kukuhandle na kukutamani aisee ni amzing feeling ile acha tuu unakuta demu kyupi imeshalowa
 
Aaah wapi,utamu ni pale unapokojoa na feeling yake huisha sekunde tu .
 
Aaah wapi,utamu ni pale unapokojoa na feeling yake huisha sekunde tu .
Basi wee hujawahi kugegedwa vizuri 🤣🤣🤣🤣
Alafu utamu ata ule wa anticipation ile unavyofukuziwa na mjamaa playing hard to get...ile kuwaza sijui nikimpa atanotomber vizuri na kuniacha, au maybe he myt be better than my husband vyote hivyo ni sehemu ya utamu
 
Acha uvune ulichopanda mama kahaba wewe. Kahaba hata ujiteteee vp mwanao psychological hawez kukupenda ingekua mm zamani saana nisha mwambia mshua maana ni upumbavu mkubwa saana. Fanaleki
 
Duh
 
Huyu mwanao yanamhusu yeye ni mvulana anajua Baba yake ni mwaminifu Sasa mweleze mumeo face consequences au
 
Mtu muovu kama hajawahi kukutwa na jambo gumu, la aibu au kuharibu maisha,hatakaa akajifunza, kwa kua nina mke, na ninahudumia familia yangu ipasavyo, najua uchungu wa mwanamke mpumbavu kama wewe, sikujui ila nakuombea yakukute ya kukukuta, ili ujifunze, mzinzi mkubwa unakuja kutuuliza sisi ukitegemea tutakufundisha ushetani wa kukwepa na kujiokoa ktk dhambi zako, nakuombea uachike, na shetani huyo huyo akuondolee na kazi inayokupa kipato chochote, ili uone uchungu wa single mama, au wadada poa kwa nini walijikuta wanakua madada poa, yaani ukome hapa hapa Duniani ili ujue ulikua mpumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae kuachika tu huyo dogo anakulia timing ipo siku atamwambia baba yake ukweli kwamba ww ni msaliti, huu ndio ukweli wenyewe, hakuna namna malipo ni hapahapa duniani , jiandae tu
 
Kama ni mtt wa kiume,umemuumiza sana na hakuna unachoweza fanya kwàke hata msamha.Na unapojitahidi kumtuliza ndo unamzingua.Cha muhimu ww kaa kama vile ulichofanya ni haki yako.Ameshakua mtu mzima huyo.Shida atakayopata ni kuamini mwanamke maana ww kama mama ni role model wake so you just killed him but he will get over it.Just move on na usideal naye mbele ya baba yake at all wala usiongelee tena hilo swala ww na yeye.Wewe deal naye kwenye vitu basic tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…