Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Sijui hata niandike nini ila wanaume😂 humu mna comment mna uchungu sana lakini nyinyi mnaongoza kwa ku cheat af mnasingizia nature. Hakuna alieumbwa na moyo wa plastic wote wanaumia.
 
Mitoto ya Mama bana Tabu kweli kweli
 
CHAI.

Hizi mada za kucheat waume zenu zinaandikwa na mtu mmoja. Sijui lengo lake nini

Uandishi wa yule alisema mume wake kazaa nje na yeye akaamua kumcheat na huyu ni mtu mmoja.
Hovyo kbs
 
Mumeo amejua kilakitu na anakuua taratibu just a matter of time
 
Katazame move ya kanumba moses never say never ina kisa kama chako
 
Poleee ila hata ungekuwa ww au mm ningejiskia vibaya ivoivo coz una unafiki flan ivii dadek
 
Mmmmh!
 
Mtoto amebeba mzigo mkubwa sana na pia ameathirika kisaikolojia hapo, asipooa usimshangae hata kidogo ni makosa yako. Hapo ukweli na mapatano ndio yatawaweka huru japo kwa dogo itamchukua muda sana
 
Pole mamy kwa vile kijana unazidi kwenda finally itafikia muda atakuwa na mji wake na ataoa anaweza kuji regulate akasahau hilo tukio.Wasiwasi wangu madhara yake na yeye anaweza ku m cheat mke wake hapo sasa itakuwa mission accomplished.
 
Pole mamy kwa vile kijana unazidi kwenda finally itafikia muda atakuwa na mji wake na ataoa anaweza kuji regulate akasahau hilo tukio.Wasiwasi wangu madhara yake na yeye anaweza ku m cheat mke wake hapo sasa itakuwa mission accomplished.
Sanasana siku akioa atakua na trust issues hata kwa mke wake, haya matukio huwa yanawaathiri sana watoto na kuja kuwa matatizo makubwa ukubwani
 
Pole sana mama mchepukaji mi ushauri wangu wew kaa kimya alafu uone itakuaje mana apo ukimshirikisha mtu mwingine tu utakua umeharibu iyo issue ni nzito sana hakuna anaeweza kuitunza zaid ya nyie wahusika wa ilo tukio
🤷
 
wewe kaa kimya jifanye hakuna kilichotokea
sema jamaa alishashtuka hamko vizuri na mwanao,hiyo nayo ni jam
unavyijidai kutafuta suluhu, itabumbumbuluka na itakuwa mwisho wa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…