Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Mwombe MUNGU akusamehe, kwasababu kutokuwa mwaminifu kwa mume wako ni dhambi, 2. Mwambie mtoto akusamehe kwasababu kadri anavyoona unahangaika anajua umefanya mda mrefu ,mwache usijipendekeze kwake tena, acha njia zako mbaya , mwombe MUNGU akupe kibali mwite baba na mtoto alafu omba msamaha kwa mume wako najua ni ngumu ila limeshatokea hapo utaweza kuwa na aman bila hivyo litakula Kila siku mpaka unakufa tena kabla ya siku zako kwa pressure
 
Mimi nimeweza kutunza siri ili nisivunje ndoa ya wazazi mpaka Maza amefariki na bdo dingi hajui kama kuna mtoto co wake, shida ni kwamba saizi baba halali wa mtoto anamtaka mwanae. Dogo ako na 19yrs nw. Mzee hajui lolote maskini.
Nini?

Hii dunia hii!!!


Ila hongera kwa kutokuwachonganisha wazazi wako. Huyo "dogo" ni ndugu yako wa "damu" pia.
 
Maza kaondoka ila kaniachia mzigo mzito sana. Ofcoz anamtaka mwanae ila nimemwambia awe mpole. Nipo njia panda.
Anamtaka mwanae kwa nani? Kwako?Alimlea?

Ubaba ni malezi, kwa hiyo aliyelea ndiye baba.
 
Je bado unaye huyo mchepuko!?
 
Anamtaka mwanae kwa nani? Kwako?Alimlea?

Ubaba ni malezi, kwa hiyo aliyelea ndiye baba.
Mwenye damu yake apewe damu yake, kama ubaba ni malezi,basi sisi Wajomba ndiyo tungekua mababa kwa watoto wa Dada zetu!!
 
Pole mama firstborn hebu tuletee mrejesho wa kile kilichoendelea kati ya kijana wako na mme wako maana ni muda sasa tangu utuletee thread yako je hatimaye mliweza kusuluhishana na kuamua kuyajenga? Kama ni ndiyo ni ipi reaction ya mmeo baada ya kujua kile kilichotokea?
 
Najua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.

Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Anakuona malaya kama malaya wengine ndio maana alisema una miaka 26
 
Sijui hata niandike nini ila wanaume[emoji23] humu mna comment mna uchungu sana lakini nyinyi mnaongoza kwa ku cheat af mnasingizia nature. Hakuna alieumbwa na moyo wa plastic wote wanaumia.
It's better kwa mwanamme kucheat na sio mwananmke kucheat
 
Sijui hata niandike nini ila wanaume😂 humu mna comment mna uchungu sana lakini nyinyi mnaongoza kwa ku cheat af mnasingizia nature. Hakuna alieumbwa na moyo wa plastic wote wanaumia.
Nyie wenyewe mnacheat sana tuu....haman mwanaume au mwanamke wakwako peke yako hii Dunia. Tuenjoy jamani kushare hizi mbususu na le boloz. Sie viba100 hatuna chetu ni mwendo wa nyeto na mlenda vuguvugu
 
Kama hujacheat Tena na unataka kuishi kwa Amani na huyo mtoto.

Chukua Wazee wanne wa wa jinsia mbili tofauti, Wawe wa Heshima ikibidi Wawe wanajihusisha na dini au mambo ya saikolojia.

Mwite mmeo na mwanao kisha sema kila kitu cha ukweli..

Jutia na omba msamaha ile kutoka moyoni sio kuigiza.

Najua hii ni njia ngumu ila ni fupi sana na ni rahisi kushinda.

Bila hivyo huyo dogo hawezi Kusamehe na japo bado hajasema ila lazima atamwambia
 
Chapa makofi huyo dogo. Akili zimkae sawa, kwanini hakuheshimu? Kanafanya makusudi tu
 
Wanaume hatujaubiwa kusamee usaliti ponapona yetu huwa tunasahau.

Huyo dogo hawezi msamehe katu, Cha msingi akae mbali naye. Ikiwezekana amwamishe mkoa, itamsaidia dogo kusahau na kufanya maendeleo yake.
 
Kama 10 year hajawahi kumwambia mumeo, potezea kashakuwa baba na anaweza jitegemea huyo. Consider he never existed, usimfatilie Kwa lolote labda aamue mwenyewe kukushirikisha.

Kwa muda ulivyoenda Hata akimwambia na yeye atakuwa mtuhumiwa tu, alikaaje na issue sensitive ya kukutimua Kwa muda wote huo, na unaweza Kuta jamaa alishakuchoka sema akikosa sababu ndiyo hivyo amevumilia mpaka uzee.

Otherwise kama unataka kwenda mbinguni jikane mwenyewe umwambie mumeo what happened 10 yrs back, alafu umwache apitishe hukumu mwenyewe.
 
Mtunuku
 
Salama yako ni kumuuwa huyo mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…