Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Wanawake mnakausemi kenu kwa sisi wababa "WANAUME WOTE NI MANG'OMBE KASORO BABA YANGU "

Sasa mwanao akiwa mbele ya wanawake atawaambie wenzie maneno haya

WANAWAKE WOTE NI MANG'OMBE HADI MAMA YANGU MZAZI"

Unadhani mwanao atakuwa na hamu ya kuoa ikiwa amemkuta Hadi mtu aliyemuamini na kumthamini akiliwa mbele yake

Au wewe unapat wapi ujasiri wa kumshuri mwanao mambo ya ndoa?

BI MKUBWA HAPO UMEHARIBU SANA KATUBU MBELE YA MUUMBA WAKO NA TOBA IWE YA KWELI TOKA ROHONI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aise

Umenikumbusha nikiwa darasa la tatu

Mchana ndo tumerudia shule ,mara paapu mkuu ,kaingia class kaniita kinakirefu ,uje ofisini

Mkuu ,shikamoo ,hebu kimbia wahi nenda Kwa mwl x ,mwambie tunasumsubiria yeye hapa kikao kiaze


Bwana wewe

Ujuavyo ,sipidi yakutumwa na mwl mkuu ,nilikimbia mbio hizo zakufa mtu Break sebuleni kwake ,mlango haujafungwa ,nakuta mratibu Kata elimu ,kakamatia yule mwalimu kwenye kochi ,mkunjo ule mama umri mtu mzima wakati ,haaaa uchi wamnyama ,Ile geuza yangu nilijikuta Niko nyumbani ,badala nipeleke jibu kwamkuu ikabidi nitamke unaitwa na mkuu wanakusubiria kikao

Mbio nyumbani wiki Zima sikwenda shule Kila nikiulizwa naumwa,nasababu naogopa kwenda mwl na walimu watanipiga nimechungilia mwl ,nikipelekwa hospito malaria hakuna ,baadae inaonesha mwl aliniulizia Sana shule hanipati na mratibu ,ikabidi madam aje nyumbani ,ghafla huu hapa


Akaita mwanangu hujambo Kwa uchangamfu mkubwa ,sijui waliongea Nini na Maza ,nikaona naitwa napewa ,Kumi alfu ya blue ,nikanunue nachotaka na jumatatu niende shule bila kukosa ,niliishi maisha mazuri shule sijawahi ona tokea pale mpaka namalizipa ,LY yangu
 
Hizi thread za kuwacheat waume zenu mkikamatwa mnakuja kulia lia humu mbona nyingi sana siku hizi? Ni kama mko proud na mnachokifanya sio?

Kiukweli pambaneni na hali zenu, binafsi sinaga ushauri kwenye mambo kama haya.
Ninachukia sana thread za kucheat, zinanifanya nikose imani na wanawake wote.
Nashauri zikome zinatuwekea sumu mbaya
 
Ndoa ni y'ako na mmeo komaa na mridhishe mmeo

Mtoto wako hana nafasi kwenye ndoa yako

Wewe ulishamaliza kumzaa muache aendelee na Maisha yake!!

Fanya mambo y'ako pambania ndoa yako mtoto ana Maisha yake wewe Maisha y'ako ni wewe na mmeo!!!
 
Sina chakushauri mshirikishe Mungu , kabisa , maana kwanza lazima wanawake wawe na michepuko Yako ila wewe ni mama mtu mzima sana usingefanya dukani nadhani hivyo tu.

Maana kama una mchepuko mwenye hela lazima uwe na backup kwenye maisha haya ngoja aoe atajua tu .

Wala usimshirikishe mtu wanafiki Kaa kimya alisema basi ndio imefikia hiyo siku . Wala usiwaze wewe ni mama na unalea asikuzingue Bora unge fumaniwa na age yake au Mario Sasa nikifaru why achana naye mpende , mjali basi .. ....

Asikuzingue hujafanya powa ila ndio maisha atake asitake . Backups lazima unadhani akihitaji kazi ni nani atampa kama sio michepuko ya maana mjini hapa . Halafu anaanza majungu mie Wala nisingehangaika na Maza , maana najua hapa backup ziwepo , akae Kwa kutulia usiwaze usiwe karibu naye gari uza weka hizo hela
 
Ninachukia sana thread za kucheat, zinanifanya nikose imani na wanawake wote.
Nashauri zikome zinatuwekea sumu mbaya
Rafiki hili ndio lengo la waset-trend, katika hii dunia ya Mungu tujifunze sana kuwa na mawazo independent na si kuchukuliwa na kila upepo, tutembee na akili zetu kila mahala.

Mimi kiukweli namshukuru Mungu, huwa nina uwezo wa ku-do, kure-do, na ku-undo mimi na halmashauri yangu ya kichwa, toka enzi za shule hunikuti kwenye makosa ya watu wengi hata siku moja, siku zote nina makosa yangu binafsi ambayo sitaki kufa na mtu.
 
Muozeshe haraka Sana huyo kijana. Akishaoa hatokusumbua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ