Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Halafu kuna mbwa atakuja kunishauri nioe ....!!!
Yaani huyu ana ....
1. Kazi ya Wizara yenye mshahara
2. Ana biashara anaendesha
3. Amesoma
4. Anapendwa na mumewe
Ila kaamua kutomban-a nje.

Yaani pamoja na vyotee alivyofanyiwa na mumewe ...
Yaani pamoja na vyotee alivyopewa na mumewe ....
Ila ALICHEPUKA na ANACHEPUKA.

Wanaume mlioa POLENI SANAA.

Endeleeni KUZIKUMBATIA SHIDA.

#YNWA
 
Kumbe haya mambo hayajaanza leo?!
Halafu cha ajabu kuna watu bado wanaoa
 
Dogo atakuja kufanya uamuzi wa kushangaza taifa!
Nyie ndiyo mnang'olewa meno kwa pliers.
 
Habari za jioni.
Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa.

Niende kwenye mada.
Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume(my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea.

Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo hapa dsm mpaka sasa. Miaka iliyopita niliingia mahusiano na Baba mmoja hivi anafanya kazi wizara nyingine tofauti na yetu nilikutananae kwenye kikao vya ofisini.
Mimi ni kawaida yangu kumcheat mume wangu, japo hajawahi kunitilia hofu kama nimewahi kumcheat maana mara nyingi navizia akiwa safarini ndo ninafanya hivyo. Maana ninajua kumcheta mwanaume ni hatari sana kwani wanaume wanawivu sana na hasira, kama mume wangu namfahamu ni mtu mwenye hasira sana , so nilijitahidi asijue kabisa.

Sasa kuna siku mimi nilienda kwenye duka langu maana kwenye duka langu kabla jioni ijafika lazima niwepo ndo nifunge na wafanyakazi waondoke pale. Sasa kipindi tunamaliza yule Baba alinipigia simu nikamwambia nipo sehemu falani , nikamuelekeza akafika na alipofika wafanya kazi wangu nao wakawa wanaondoka mda huo huo. Mimi nikamkaribisha mchepuka ndani , sasa kwenye duka **** ofisi kwa ndani si nikaenda nae mapaka kwenye ofisi katika kuongea kama 20 minutes, kwa sababu ni mchepuka tukajisahau akaanza kunishika na kuanza kukiss each other katika kunishikashika nikajisahau.

Kumbe mtoto wangu wa kwanza alikuja pale dukani aliingia baada ya kuona mlango wa flemu moja ujarudishiwa mpaka chini kabisa so akajua kuna mtu ndani.
Aliingia moja kwa moja mpaka ofisini kwenye ndani ya duka, na mlango wa ofisi sikufunga , nilishituka sana mpaka kumtuja (mmiliki wa vyote) ile siku nilitetemeka pale pale , isitoshe mapaja yangu yote yalikuwa nje , japo nashukuru hatukufika ile stage ya kusexy.
Nilitetemeka sana na moyo kwenda mbio kwani yule ni mtoto wangu wa kumzaa. Alituangalia afu akaondoka, mchepuko akaniulize yule ni nani nikamwambia mwanangu, yeye mwenyewe alishituka. Akanishahauri kuwa tulia tuu tuongee tuyamalize nikamwambia subiri niende home kwani namjua atakuwa anaenda home. Akili iliruka siku ile. Nikafunga duka.

Nilikimbilia nyumbani ili kumuwahi mtoto maana Baba yake alikuwa Bagamoyo anarudi kesho , nilifikili ataenda kupiga simu ya nyumbani na kumwambia mume wangu, nilipofika home nilimkuta hajafika bado nilimsubiri alilofika. Nilimuita nje nikaongea nae sana. Nikajua yameisha.
Kesho yake nikamwambia unataka nini nikununulie akasema hataki chochote .

Yule Baba akanipigia simu tukaongea sana akaniambia njoo uchukue pesa tumpe mtoto atajamaza tuu , yule Baba alinila 1,000,000 nimpe mtoto wangu niliasiseme nilimpa zile pesa nikajua yameisha.

Sasa kadri siku zinazidi kwenda mtoto wangu alikuwa aninichukia sana kuna kipindi alikuwa hata kunisalimia hataki kabisa. Nikimtuma hataki kabisa hata kwenda. Ila mimi niliewa kuwa ni lile tukio.
Kuna siku alinisikia namuita mume wangu kipenzi, kijana wangu si akasikia aliniangalia sana.
Mpaka mimi nikashituka, na nikajua yeye jinsi anavyo jisikia.

Kuna kipindi nililazwa hakuja hata kuniangali hospital.
Mara nyingi tukiwa pekeetu nakuwa nakaa nae naongea nae namwambia mimi ni mama yako naomba unisahame nimemkosea Baba yako, nimeacha sijarudia tena. Ila hanijibu chochote ananyamaza tuu. Najitahidi kumfanyia mambo mazuri ilimradi nirudishe mahusiano na mtoto wangu. Lakini inashidikana.
Kuna siku namwambia unapenda nikufanyia nini mwanangu hanasema tuu mimi nipo sawa mama.
Tangu lile tukio niliacha kucheat.

Ki ukweli ananichukia sana mimi mama yake uwa nakaa ne mara nyingi naongea nae ila inashindikiana.
Mwaka juzi nilimuona kuna rafiki yake anagari , na mimi nikasema ngoja nimnunulia kagari mtoto wangu , kwa vile mimi nimeajiriwa na nina mshahara mzuri, nilijikusanya na kuchukua pesa baadhi kwenye biashara zetu na mume wangu, mwaka jana mwezi wa 8 nikaenda mlimani pale nikanunua gari , nikamfanyia kama surprise hivi alisema tuu Asante akachukua ,
Ila nilishangaa aliendesha kama 2 weeks baadae alilirudisha nyumbani na kuweka funguo mezani ajariendesha mpaka leo, mume aliniuliza gari vipi nikazuga zuga tuu.
Nilishangaa sana nilimuuliza kuwa unajua mimi ni mama yako nimekosa ila kumbuka mimi ni mama yako. Yeye sasa anaumri wa miaka 26.

Sasa wiki 2 zilizopita mume wangu aliniambia kuwa ninaona wewe na first born hamna mahusiano mazuri nawafatilia mda mrefu sana sijajua shida ni nini. Nimeshituka sana kwani sitaki mume wangu hajue hii ishu japo ilitokea 10 years ago ila baada ya kujiambia hivyo niliishiwa nguvu kabisa. Juzi nilijaribu kumuuita mtoto wangu niongee nae lakini still bado anahasira nami.

SASA JAMANI Naomba msaada wenu kimawazo nideal vipi na hii kesi. Najua hawezi kumwambia Baba yake ila na mimi nikikaa kinywa , mume wangu atajua tuu **** something tunamficha maana hata juzi katoka kusema shida yenu ni nini nimemrukaruka tuu.
Mtoto wangu hataki kabisa kunisikiliza.

Nilitaka kushirikisha kiongozi wa dini mmoja ni mwanamke , tumuite ili tuongee nae ila naona haitakuwa siri tena inatavuja tuu.
Msaada wa mawazo . Nahitaji.
ki umri una miaka kama 43 ama 45 hivi...??? mwanao anakupenda sana na anakuheshimu sana, shukuru kuhusu hilo... mtengenezee misingi ya kuwa mtu mzima... atakuelewa
 
Huyo dogo hatakua na imani tena na mwanamke yeyote kama tu amemuona mama ake anavyocheat live live, mwanamke gani tena atamuamini.. hata ningekua mimi ningekuchukia tu
 
Duuuh hii ngoma ipo nje ya uwezo wangu, ngoja nisishauri chochote, nikae kimya tu.
 
Wewe maza ni boflo kabisa yani unajivunia kabisa eti ni kawaida yako kumcheat mumeo, fvvvvvvvck

Unadhani hajui kuwa wewe ni mama yake adi umkumbushie Hilo Kila mara? Ulishakosea lakini vitu unavyozidi kuvifanya ndio unakosea zaidi(huko kumnunua kwa kumpa hela na gari). Kwa uthubutu huo si ajabu ukiambiwa ulale na mwanao ili yaishe ushindwi.

Mimi nikiwa form | kama sikosei nilishuhudia sister angu niliemuamini Sana akipigwa deep kiss na mhuni Fulani hivi, nilijiskia vibaya mno nkawa sitaki hata kupishana nae koridoni. Sipati picha hayo maumivu ya huyo kijana wako kwa mama yake mzazi.
Mimi ndiyo huyo mhuni Sasa nilikuwa namnyonya denda dada yako, Tena nilivyo kuona unakuja nikazidisha maufundi ili uzidi kununa..... 😃😃😁
 
Umri wa mtoto alipokushuhudia mkifanya yenu ni umri hatari sana. Ndio umri wa kumpenda au kumchukia mtu.

Akimpenda mtu katika umri huo pengine akampenda katika maisha yake yote na akimchukia mtu katika umri huo pengine akamchukia katika maisha yake yote.
 
Mimi ndiyo huyo mhuni Sasa nilikuwa namnyonya denda dada yako, Tena nilivyo kuona unakuja nikazidisha maufundi ili uzidi kununa..... 😃😃😁
Hata sikuwa natembea mkuu, nilikua napepesa macho ghafla bin vuu namuona mrumi(mseminaristi, sijui Kama alifanikiwa kuwa padri) anampiga kiss Dada na kumshika japo sister alikua anajipambanua atoke. Yule jamaa alikua anakuja home kutufundsha kuanzia hapo nilimuona muhuni tu.
 
hiyo kitu ni kubwa sana usithibutu kuongea popote kaa nayo hivy hivyo na mwanao hadi myamalize na akikusemea kwa baba yake kataa kata
ukithubutu kushirikisha watu utakuwa umejimaliza mwenyew na umalaya wako
 
Hata sikuwa natembea mkuu, nilikua napepesa macho ghafla bin vuu namuonaga mrumi(mseminaristi, sijui Kama alifanikiwa kuwa padri) anampiga kiss Dada na kumshika japo sister alikua anajipambanue atoke. Yule jamaa alikua anakuja home kutufundsha kuanzia hapo nilimuona muhuni tu.
daaaah huyo Jamaa ni mhuni, yaani alikuwa anawafundisha...? Kumbe alikuwa anamtaka dada yako...😃😃😁 Mambo ya kizungu hayo mkuu....
 
Dah,
Iko hivi hakuna kitu inauma kama mtoto wa kiume kumuona mama yake anafanya ufuska huo,

Kiukweli hilo jambo halisameheki,Im sorry to tell you but halisameheki.

Anayeumia na kutafunikika kila siku ni huyo mtoto,anaweza kufa kabla ya muda....

Hawezi muambia baba yake ila umemuweka mahali pabaya sana kisaikolojia

Siwezi kukulaumu moja kwa moja,watu hucheat ila tu umejisahau my dear, dukan kwako sio sehem ya kutapakaza shahawa,tena za malaya mwenzio.
 
Back
Top Bottom