Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Chizi Maarifa naomba uje kuweka neno hapa. Bila wewe Mr VAR, hizi threads za sasa hivi siziamini kabisa
 
Kwenye kikao chetu wanaume tumesha kubaliana kwamba ukijua mkeo anakucheat ni kumuacha tuu wala hakuna mjadala kwaiyo ni bora uendelee kubaki na siri yako kwa usalama wa ndoa yako
 
sasa nikaona mbona story hazimatch kati ya huyo anko na yule ndugu mwingine upande wa mama, akili ikacheza.
Hapo mtian upo sio mdogo, huyo uncle siku akiweka Mambo hadharan na kutaka mtoto wake itakuwa shida sana hasa kwa mzee wako.
 
Maza kaondoka ila kaniachia mzigo mzito sana. Ofcoz anamtaka mwanae ila nimemwambia awe mpole. Nipo njia panda.
Na awe mpole kweli maana kwa mzee haitokua rahisi kuhimili hilo kwasasa. Pole Sana mkuu
 
Mwambie baba yake ukweli. Ukweli utakuweka huru,
 
Kwahio sista wako ulitaka deepkiss akupige wewe au 🤣🤣🤣
 
Mimi binafsi haziivi na baba wa kambo hata mama anajua. japo baba mzazi alishafariki,ila kusema ukwel huyu baba wa kambo ananipenda sana ila simpendi hata kidogo naweza hata nikampita bila kumsalimia
Hahahah baba wa kambo anajipendekeza kwako ili usione tofauti ila dah. Damu ya mtu nzito bana. 🤣🤣🤣
 
Namtaka anaesema mwanamke anataka Pesa... Pesa...Pesa ili atulie. Tukiwaambia pesa sio mapenzi hamuelewagi kmmmk dah 🤣🤣🤣
 
Ukikaa kimya itaendelea kukutafuna kila siku mpaka utakaporudi kwa mungu

Ila ukisema ukweli utakuweka uhuru

Nb. Kubali yote yatakuja kutokea ukisema ukweli maana wanaume tuna hasira sana huyo mwanao hatokuja kukusamehee na atazidi kuwadharau wanawake wote

Hiyo laana imekuja kwa mwanao inaonekana unamchet sana baba ake ndio maana ameona labda alikuwa anasikia sikia kwa watoto wenzake mienendo yaya mama yake sasa ameona kwa macho...
 
Du pole sana!
Hili ni noma kali.
Ambacho bibie hujui ni kwamba mtoto wa kiume ana uhusiano kwa karibu sana na mama yake.
Kwa mtoto wa kium, mama ni kama girlfriend wake.

Ukimcheat baba yake ni kama umemcheat yeye mwenyewe.
Hilo suala ni gumu ila endelea kumuomba akusamehe.
 
Cha kushauri kikubwa mwambie mtoto ukweli kuwa wanawake wote wana cheat. Asithubutu kuoa. Ikiwezekana uwe unamkumbusha mara nyingi kuwa wanawake wote ni madogi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…