Gentamycin kilazamleta mada ni rahisi sana kumfahamu,kama umetumia JF muda mrefu unamjua kwa ID yake ile iliyopigwa ban mara nyingi
POPOMA katika ubora wakeHalafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza kwa Watanzania wengi japo wengine Walilia yale Machozi ya Kitunguu Swaumu au ya Samaki ndani ya Maji.
Na nyie Ndugu wa Mgonjwa wa Serikali hebu acheni kila mara Kuficha au Kufumba kuhusu hali ya Mgonjwa kwani mnatuchanganya zaidi mpaka wengine Machozi yanaanza kututoka.
Kabla sijaingia Ibadani Kusali Usiku huu nataka nimtafute Daktari Mmoja aniambie ni kwanini Siku moja aliwahi kuniambia ukitoka Salama na Hai ICU basi Katambike Kwenu au Chinja Mbuzi ule Kitabibu ukiwa huko una 90% za Kutoendelea Kufokafoka na 10% za kuendelea kuwaona The Big Five Animals wa Mbuga nzuri niipendayo ya Mikumi Mkoani Morogoro.
Ibada mbalimbali za Kumuombea Mgonjwa wa Serikali ziendelee tafadhali hata kwa wale walioko Belgium muda huu wakinywa Wines na Whiskeys huku wakiitafakari Tanzania Bara na Tanzania Visiwani yao.
Kama Watanzania tumeweza Kuiombea Corona na ikatuogopa na kama Watanzania tuliweza Kuiombea Mvua na zikayesha nina uhakika kwa pamoja tukimuombea Mgonjwa wa Serikali ili asiyaanze Maisha yake mapya Frijini Wadi ( Wodi ) namba 26 Muhimbili National Hospital inawezekana na atapona tu.
Kuna Mtu ( Watu wa Uchuro ) wanadai kuwa Hesabu ya Israeli Katili na Mchomoa Betri maarufu huenda ikawa imeshakamilika na kinachofanyika sasa ni Kutuandaa tu taratibu Kisaikolojia ili baadae ikiwa ni kweli tusije Kushtuka au wengine hata Kuzimia na ikiwezekana hata Kufuatana nae alipopangiwa kuwepo Kimya Milele na Mwenyezi Mungu.
Umeandika kama mchawi anaefurahia vifo vya watu..Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza kwa Watanzania wengi japo wengine Walilia yale Machozi ya Kitunguu Swaumu au ya Samaki ndani ya Maji.
Na nyie Ndugu wa Mgonjwa wa Serikali hebu acheni kila mara Kuficha au Kufumba kuhusu hali ya Mgonjwa kwani mnatuchanganya zaidi mpaka wengine Machozi yanaanza kututoka.
Kabla sijaingia Ibadani Kusali Usiku huu nataka nimtafute Daktari Mmoja aniambie ni kwanini Siku moja aliwahi kuniambia ukitoka Salama na Hai ICU basi Katambike Kwenu au Chinja Mbuzi ule Kitabibu ukiwa huko una 90% za Kutoendelea Kufokafoka na 10% za kuendelea kuwaona The Big Five Animals wa Mbuga nzuri niipendayo ya Mikumi Mkoani Morogoro.
Ibada mbalimbali za Kumuombea Mgonjwa wa Serikali ziendelee tafadhali hata kwa wale walioko Belgium muda huu wakinywa Wines na Whiskeys huku wakiitafakari Tanzania Bara na Tanzania Visiwani yao.
Kama Watanzania tumeweza Kuiombea Corona na ikatuogopa na kama Watanzania tuliweza Kuiombea Mvua na zikayesha nina uhakika kwa pamoja tukimuombea Mgonjwa wa Serikali ili asiyaanze Maisha yake mapya Frijini Wadi ( Wodi ) namba 26 Muhimbili National Hospital inawezekana na atapona tu.
Kuna Mtu ( Watu wa Uchuro ) wanadai kuwa Hesabu ya Israeli Katili na Mchomoa Betri maarufu huenda ikawa imeshakamilika na kinachofanyika sasa ni Kutuandaa tu taratibu Kisaikolojia ili baadae ikiwa ni kweli tusije Kushtuka au wengine hata Kuzimia na ikiwezekana hata Kufuatana nae alipopangiwa kuwepo Kimya Milele na Mwenyezi Mungu.
Nyemelezi.Kwani wamitulinga unasumbuliwa na ugonjwa gani mkuu?
Na hata Siri zao nyingi alikuwa akiwapa.Huyu alikuwa chadema rafiki wa ccm
Huyo ni Genta hata bila kupapasa macho,anatumia ID nyingine ila uandishi ni ule ule.mleta mada ni rahisi sana kumfahamu,kama umetumia JF muda mrefu unamjua kwa ID yake ile iliyopigwa ban mara nyingi
Dah,I can't u,eti shekeli π.Shekeli ipo Ya kutosha au ni aje ni aje
Yani nyie wanduu,mna uwezo wa kutambua handwriting ya mtu.Mycn .... Mulemule
Uandishi wako unasadifu furaha kwa mateso anayopitia binadamu mwenzio, hii sio tabia ya binadamu wa kawaida huu ni ulozi. Jitathimini!!!Daktari Mmoja aniambie ni kwanini Siku moja aliwahi kuniambia ukitoka Salama na Hai ICU basi Katambike Kwenu.....
dada upo?Genta your cin
Uko na roho mbaya sana..unafurahia matatizo ya mwenzako&unamwombea mabaya.Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza kwa Watanzania wengi japo wengine Walilia yale Machozi ya Kitunguu Swaumu au ya Samaki ndani ya Maji.
Na nyie Ndugu wa Mgonjwa wa Serikali hebu acheni kila mara Kuficha au Kufumba kuhusu hali ya Mgonjwa kwani mnatuchanganya zaidi mpaka wengine Machozi yanaanza kututoka.
Kabla sijaingia Ibadani Kusali Usiku huu nataka nimtafute Daktari Mmoja aniambie ni kwanini Siku moja aliwahi kuniambia ukitoka Salama na Hai ICU basi Katambike Kwenu au Chinja Mbuzi ule Kitabibu ukiwa huko una 90% za Kutoendelea Kufokafoka na 10% za kuendelea kuwaona The Big Five Animals wa Mbuga nzuri niipendayo ya Mikumi Mkoani Morogoro.
Ibada mbalimbali za Kumuombea Mgonjwa wa Serikali ziendelee tafadhali hata kwa wale walioko Belgium muda huu wakinywa Wines na Whiskeys huku wakiitafakari Tanzania Bara na Tanzania Visiwani yao.
Kama Watanzania tumeweza Kuiombea Corona na ikatuogopa na kama Watanzania tuliweza Kuiombea Mvua na zikayesha nina uhakika kwa pamoja tukimuombea Mgonjwa wa Serikali ili asiyaanze Maisha yake mapya Frijini Wadi ( Wodi ) namba 26 Muhimbili National Hospital inawezekana na atapona tu.
Kuna Mtu ( Watu wa Uchuro ) wanadai kuwa Hesabu ya Israeli Katili na Mchomoa Betri maarufu huenda ikawa imeshakamilika na kinachofanyika sasa ni Kutuandaa tu taratibu Kisaikolojia ili baadae ikiwa ni kweli tusije Kushtuka au wengine hata Kuzimia na ikiwezekana hata Kufuatana nae alipopangiwa kuwepo Kimya Milele na Mwenyezi Mungu.
ππ bora umemkumbusha hilo maana ameandika mada yake as if yeye ataishi mileleTaarifa ya kifo haiwezi kuwa taarifa ya kushtukiza kwakua hakuna binaadam anae tarajiwa ataishi milele
Kwahiyo punguza hisia subiri taarifa rasmi maana kifo ni kifo tu wote tutakufa na pengine wa ICU akapona na sisi tunaojadili habari za walio ICU tukatangulia
Mtu akifa hata Kama ni adui yako Wala siyo ushindi kwako maana nawewe utaenda tu hakuna Cha kufurahisha Wala Cha kushangaza juu binaadam kufariki.
Kama ni hivyo basi, ni Nini madhara au adhabu ya Kuwa msaliti?Na hata Siri zao nyingi alikuwa akiwapa.
mleta mada ni rahisi sana kumfahamu,kama umetumia JF muda mrefu unamjua kwa ID yake ile iliyopigwa ban mara nyingi
Mbona zina zaidi ya wiki sasa, kamlipe deni analokudai.Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza kwa Watanzania wengi japo wengine Walilia yale Machozi ya Kitunguu Swaumu au ya Samaki ndani ya Maji.