Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Status
Not open for further replies.
Madaktari wanatibu halina ubishi, Ila mponyaji ni Mungu ndio maana ICU hukohuko wengine wanatoka salama
 
Hii mada khe
Jamani huyu naye ni mtu haijalishi anaumwa nini
Tuwe waungwana
Tusimuombee mwenzetu kifo bali tumuombee uzima
Hakuna aijuaye kesho
Ugua pole Haule
 
Hii mada khe
Jamani huyu naye ni mtu haijalishi anaumwa nini
Tuwe waungwana
Tusimuombee mwenzetu kifo bali tumuombee uzima
Hakuna aijuaye kesho
Ugua pole Haule
Genta anajidanganya sana. Anajiona yeye ataishi milele. Walimsema Lowasa hivyo hivyo ila sasa wao ndio wamelala mauti na mzee Lowasa anadunda hadi sasa. Twende taratibu kwenye ardhi hii kwani hatuijui kesho yetu.
 
Hii ni nature haiwezi kubadilika kamwe . "kufa kufaana " ndio roho zetu zilivyo wanadamu asilimia kubwa
 
umeandika umezunguka Sana pale muhimbili kunawagonjwa wawili walioko ICU na mmoja kipenzi chawatu Sana tz mmoja ni alikua mbunge kilombero ulichoniuzi umesema mserikalia Tena Mara profesa Jay ,funguka ukweli bana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…