Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Status
Not open for further replies.
Yote 9 uyomgonjwa wa serikali ni nani?? Maana wengi wanaumwa sasa¿!!
 
Acha ungese na tabia za kike bhn
 
Hii mada khe
Jamani huyu naye ni mtu haijalishi anaumwa nini
Tuwe waungwana
Tusimuombee mwenzetu kifo bali tumuombee uzima
Hakuna aijuaye kesho
Ugua pole Haule
Kuna watu wa ajabu sana Nchi hii sijui ukitangazwa msiba atafaidika nini Poor Naive African [emoji56]
 
Kwani jamaa anasumbuliwa na nini zaidi
Nani ana kile Kitabu cha Yule Mganda wa Kwanza Philemon Lutaaya Kugundulika na Kujitangaza kuwa ni Muathirika wa VVU huko?

Nimekitafuta sana pale Mkuki na Nyota Publishers Posta sijakipata na nakihitaji mno kwa Tafiti moja hivi ninayoifanya na Kuiandikia.
 
Huyu mwandishi ni bonge la mtu tena yawezekana ndo hao wa kipenyo.

Sijui tuseme nini ni kama amemaliza yote, sie tuendelee na Sala na Dua tu.
Sina Hadhi hata kidogo ya kuwa huko ( niamini 100% Ndugu ), ila wapo wenye hiyo Kazi hapa hapa JamiiForums na nashangaa hujawajua Wao na umenihisi Mimi nisiye na hata DNA nao.
 
umeandika umezunguka Sana pale muhimbili kunawagonjwa wawili walioko ICU na mmoja kipenzi chawatu Sana tz mmoja ni alikua mbunge kilombero ulichoniuzi umesema mserikalia Tena Mara profesa Jay ,funguka ukweli bana
Hopeless....!!!
 
Mleta maada una maanisha JK? Kama ni kweli Mungu amponye haraka.
 
pamoja na kwamba alikuwa hajaokoka, human wise, prof ni mtu mwema kuliko wanachadema wengi.ndo maana hata mama samia aliamua kuamua kumlipia matibabu yoote lakini cdm wanaendelea kuchangisha hela sijui walikuwa wanapeleka wapi sasa au kwenda kumpa mkewe nauli za kwendea muhimbili, na chadema hata hawajashukuru kwamba tunashukuru serikali kujitolea. mama samia alienda kumwangalia tundu lisu kenya, ameambulia kutukanwa tu na Tundu lisu. mama samia ametoa agizo matibabu ya prof j yawe bure, hakuna hata chadema aliyeshukuru, zaidi sana wameendelea kuchangisha kwasababu wanapenda sana kushika pesa. chezea palestina wewe.
 
Ni kweli mnk Kuna wagonjwa weng wa serekali hvyo Kam siyo mzee wa mitulinga umemkusudia bas hujamtaja mtu mm nilizan Ni wamitulinga umemkusudia
 
Jk au Mzee Lowasa? Kama ni hao ni pigo kwa taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…