Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Siku hizi wapo wapo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi? Naomba ufafanuziSahivi field ni dili sn
580k ni mshahara au posho?Unaponda halmashaur ilihal huo mshahar ni level scale ya watumish wote.labd uwe maa taasis huko. Na 580 mbona kubwa si umekopa sasa hutak kukatwa?
Mkuu hata hao wengine wakipata nafasi nao wanakuwa kama wao.wanatakiwa wafanye hivyo huku wakijua kwamba wako wengi wenye uwezo kuliko wao, lakini hawakupata tu bahati ya kuwa pale walipo.
Mkuu sisi wafrika tuna ulimbukeni wa asili.Secretary ansulizwa nafasi ipo au haipo anajibu subiri, fuata majibu jumatatu, Jumatatu anakuambia kuwa mvumilivu mpaka Alhamis tayari tutawajibu.
Alhamisi inafika anakodoa mimacho tu
Wapuuzi sana 🤣Labda kijijini lakini mjini hakuna rangi hutoona. Halafu kuna vile umefika halmashauri una shida fulani wanaanza kukuzungusha mara nenda pale ukienda pale unaambiwa nenda kule ukienda kule unaambiwa rudi nyuma kidogo ingia kushoto ukiingia kushoto anakuambia nenda mbele kidogo ingia kulia mlango namba 2 ukiingia namba 2 unakutana na kidada kimechoka halafu sura ngumu halafu anachati. Ukimsalimia anaitika bila kuinua kichwa huku bado yuko kwenye simu. Unamueleza shida yako anakwambia muhusika hayupo na haijulikani atakuwepo lini na wewe umetoka mbali zaidi ya Km 100 na umetumia nauli kibao. Pumbav zenu!
Umeandika point sana mkuu binafsi mi nimeshakutana na mtu wa namna hiyo yeye anafanyakazi mamlaka ya maji anaweza akapita nyumban kwangu akiwa na videm vyake utaskia ananichimbia bit eti ooh we umeshalipia maji, mara ooh nimetuma watu waje kukata maji kwenye nyumba yakoHabari wana JF.
Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana.
Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi
Unaweza kunitajia mtu yeyote ambaye hayuko serikalini?
Hata mfanyabiashara mdogoje 🙂 , maadamu mfumo uleule ndio unampa kipato chake, basi kimsingi naye yupo serikalini.
Au nasema uongo ndugu zangu?
nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao ndio wale ambao shida yako hata kama ilikuwa ni ya kutatuliwa kwa dakika moja (mfano kusaini document hakuhitaji muda mrefu), lakini utashangaa unaambiwa nenda utarudi kesho au mwezi ujao n.k.
Lengo la kuandika huu uzi ni kuwaasa watumishi wote wa serikalini kuanzia watendaji wa vijiji hadi kwa Rais, watambue kwamba wako pale kwa ajili ya kuwahudumia watu na siyo kuwanyanyasa au kuhudumia watu wa aina fulani kwa upendeleo. Na wanatakiwa wafanye hivyo huku wakijua kwamba wako wengi wenye uwezo kuliko wao, lakini hawakupata tu bahati ya kuwa pale walipo.
Naomba kuwasilisha.
Akili zao wanajua dogo akijitolea atakuwa anapata vijisenti!Ila Halmashauri ni upuuzi mtupu.
Dogo kaenda kuomba nafasi ya field anazungushwa tu.
Field nayo ni kitu cha kzungusha kijana?
Pole sana kwa chanamoto Mkuu..Umeandika point sana mkuu binafsi mi nimeshakutana na mtu wa namna hiyo yeye anafanyakazi mamlaka ya maji anaweza akapita nyumban kwangu akiwa na videm vyake utaskia ananichimbia bit eti ooh we umeshalipia maji, mara ooh nimetuma watu waje kukata maji kwenye nyumba yako
Sasa ukiangalia vitu vipo kwenye system sasa yeye anakuja kunihoji kijingakijinga
Mbaya zaid nyumban kwangu ndio imekuwa kama ofisin kwake
Utaskia nakusimamia hapa ili usiuze maji
Sasa jaman mtumishi wa namna hii ananitakia nini?
Kuna mpango nimemuandalia ili iwe fundisho kwa wafanyakazi wengine wangese kama huyu jamaa
Ila kweli MkuuMkuu hata hao wengine wakipata nafasi nao wanakuwa kama wao.
Malalamiko ya aina hii tunayo tangu zamani.
Watu wa ovyo wakistaafu wanaochukua nafasi zao wanakuwa na tabia zile zile.
Wafrika tuna roho za ovyo ambazo zinafanana.
Wasomi na maamuma wote wabinafsi.
Ukitenda kwa haki ndio utafeli mapema sanaHizi kazi inatakiwa ubalance usiwe mnoko sana Wala easy sana simamia haki,