Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi?

Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida.

Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare.

Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati anga limefunika na pupwe linapuliza.

Kumbukeni hili ni tukio la Kihistoria. Ilirekodiwa na waba anga wa zamani march 14 1200, na baada ya miaka 400 1600. Baada ya miaka 400 tena imetokea leo.

Wanajamvi please mlioko nyumbani Tokeni nje basi mtutumie mapicha ya Jupiter na sayari nayoipenda kuliko zote the gas giant Saturn. Naipenda Saturn kwasababu ya mwezi wake titan inawezekana kuna uhai kwenye iyo Saturn moon titan na labda ndio huko tuaenda tukifa.

Tukio kama hili la leo litatokea tena baada ya miaka 80 2080. Na baada ya hapo litatokea tena baada yya miaka 400 2400.

Ntafurahi sana mwanajamvi yeyote atakayeweka picga aliyopiga ya hizi sayari na nipo tayari kutoa zawadi.

God bless humanity
 
Back
Top Bottom