abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Watu wanaumizwa Sana na moyo na Mara nyingi maamuzi ya moyo Hua sio sehem ya ubongo ndiomana hata mtu awe Ana akil vip na msimamo mikal moyo ukiamua kumfanya awe mjinga atakua tuMoyo wa mapenzi ni nini?
Mimi sijawahi kuusema huo moyo wala siuelewi, naujua moyo unaosukuma damu.
Labda wewe uanze kunielezea moyo wa mapenzi ni kitu gani, upo wapi, nithibitishie upo. Elezea upo sehemu gani.
Mimi wapi nilikutajia moyo wa mapenzi?
Yani moyo wa mapenzi uutaje wewe, halafu unilazimishe niuelezee mimi?
Na kama upo, na mimi nikashindwa kuuelezea, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Logical non sequitur.