King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
😅😂....ndo unapoanzia apo.ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo😆😆...huwa nashangaa sana mnavoshindwa kutetea mnachoamini
Unaweza kutetea unacho amini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😂....ndo unapoanzia apo.ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo😆😆...huwa nashangaa sana mnavoshindwa kutetea mnachoamini
Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo, kwa sababu hakipo kuthibitishika kwamba hakipo.Thibitisha Mungu hayupo.
Mungu gani? Mungu ni nini?Kwann usimthibitishie kuwa hayupo. Mpe prove kuwa hakuna MUNGU.
Ndiyo...mimi naamini Magudfuli ni Raisi wa Tanzania😅😂....ndo unapoanzia apo.
Unaweza kutetea unacho amini??
Magudfuli ndo nani..??Ndiyo...mimi naamini Magudfuli ni Raisi wa Tanzania
typo....MagufuliMagudfuli ndo nani..??
Ndo nini hii??typo
😂typo ni Typing error....vingine unagoogle tu mkuuNdo nini hii??
Ooh...kumbee😂typo ni Typing error....vingine unagoogle tu mkuu
Basi turudi kwenye ile mada yetu baada ya kuzunguka milima....wewe unasema uwepo wa siku,sayari nyota kifo vinathibitisha uwepo wa Mungu mimi ninasema vinathibitisha uwepo wangu...Who is Right?Ooh...kumbee
Unamaanisha unataka kumsaidia Kiranga dhidi ya hii mada..??Basi turudi kwenye ile mada yetu baada ya kuzunguka milima....wewe unasema uwepo wa siku,sayari nyota kifo vinathibitisha uwepo wa Mungu mimi ninasema vinathibitisha uwepo wangu...Who is Right?
Hapana kiranga ana angle tofauti kabisa na Yangu.Unamaanisha unataka kumsaidia Kiranga dhidi ya hii mada..??
Anyway...tupo pamoja mkuu.
Uwepo wa usiku na mchana,mwezi na jua na uhai na umauti ni alama tosha za uwepo wa muumbaji wa hvyo (Mungu).
Je,kati ya hvyo kipi wewe umekiumba au kuna mzungu au ndugu yako yoyote alieumba hvyo vitu???
Soma swali vizuri,afu jibu swali kama ulivyo ulizwa....kama huna jibu sema sina jibu Ili tusirefushe uzi wa watu.Huyo muumbaji sio Mungu ni mimi.
Soma tena jibu...tusirefushe uzi nimesema Alieumba kila kitu ni mimiSoma swali vizuri,afu jibu swali kama ulivyo ulizwa....kama huna jibu sema sina jibu Ili tusirefushe uzi wa watu.
Je,kati ya hvyo kipi wewe umekiumba au kuna mzungu au ndugu yako yoyote alieumba hvyo vitu???
Embu vitaje hvyo kila kitu,au havina majina.Soma tena jibu...tusirefushe uzi nimesema Alieumba kila kitu ni mimi
Dah huelewi nini?? Mimi nimeumba kila kitu...Jua,mwezi nyote masayari,Dunia na vyote vilivyomo ulimwenguni nimeumba...mimi hapaEmbu vitaje hvyo kila kitu,au havina majina.
Mfno...sema mimi nmeumba kitu fulani na kitu fulani,Ili tuone bhangi unayovuta ni ya bara gani?
Kati ya hvyo vyote kipi ulianza kuumba na kipi ulimalizia??Dah huelewi nini?? Mimi nimeumba kila kitu...Jua,mwezi nyote masayari,Dunia na vyote vilivyomo ulimwenguni nimeumba...mimi hapa
nimeanza na nyota nikamalizia na Sayari kisha viumbe...mpaka leo naendelea kuumba galaxy za mbali huko....Mimi nimexist kabla ya uumbaji wanguKati ya hvyo vyote kipi ulianza kuumba na kipi ulimalizia??
Mechanism gani unatumia kuendesha hvyo ulivyoviumba..??
Hv kati ya wewe na ulivyoviumba kipi kimeanza kuexist..??