Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Tangu jumamosi zinaonekana kubebana huku nilipo hakukuwa na haja ya kupanda mlima hata jana nimeona. Leo zikiwepo nitajitahidi picha na haka ka tekno kangu hivyo hivyo
Kwani wakuu hili tukio ni la siku ngapi?
 
Kwa elimu zaidi kuhusu hizi habari

Structure

The composition of Jupiter is similar to that of the Sun—mostly hydrogen and helium. Deep in the atmosphere, pressure and temperature increase, compressing the hydrogen gas into a liquid. This gives Jupiter the largest ocean in the solar system—an ocean made of hydrogen instead of water. Scientists think that, at depths perhaps halfway to the planet's center, the pressure becomes so great that electrons are squeezed off the hydrogen atoms, making the liquid electrically conducting like metal. Jupiter's fast rotation is thought to drive electrical currents in this region, generating the planet's powerful magnetic field. It is still unclear if, deeper down, Jupiter has a central core of solid material or if it may be a thick, super-hot and dense soup. It could be up to 90,032 degrees Fahrenheit (50,000 degrees Celsius) down there, made mostly of iron and silicate minerals (similar to quartz).
Damnnn !! 🙌🙌🙌
 
Nathibitisha kwamba Mungu yupo, kwa ushahidi wa kuumba ulimwengi usioonekana kwa macho (malaika n.k) na ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(ambao viumbe vyoye tunaishi yaan binadamu wanyama, Mimea ardhini, ndege na viumbe vya baharini. Pia vitu alivyoviumba kwenye anga kama nyota, jua, sayari na vimbondo mbalimbali)
Samahan naomba kujua...ni mungu gani aliyeumba ni Jehovah Au Allah?
 
Mungu yupo wanaosema Mungu hayupo kina Kiranga wanakosea sana. Halafu nimejifunza kitu kipya leo Saturn na Jupiter ni gesi tu hamna ardhi ama solid ground kama Mars. Halafu Jupiter ina miezi 79 dah.

Ukija kwenye Saturn utofauti wake ni ile ring inayoizunguka na mwezi wake mmoja maarufu Titan
Sijui kwa nini usiku sikuona huu uzi usiku? ningetoka nje haya mambo tulisoma kwenye geography yakaishia darasani
 
Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati anga limefunika na pupwe linapuliza.

Kumbukeni hili ni tukio la Kihistoria. Ilirekodiwa na waba anga wa zamani march 14 1200, na baada ya miaka 400 1600. Baada ya miaka 400 tena imetokea leo.

Wanajamvi please mlioko nyumbani Tokeni nje basi mtutumie mapicha ya Jupiter na sayari nayoipenda kuliko zote the gas giant Saturn. Naipenda Saturn kwasababu ya mwezi wake titan inawezekana kuna uhai kwenye iyo Saturn moon titan na labda ndio huko tuaenda tukifa.

Tukio kama hili la leo litatokea tena baada ya miaka 80 2080. Na baada ya hapo litatokea tena baada yya miaka 400 2400.

Usidanganye watu, hizo syari zimekuwa zikionekana kwa muda mrefu tu kila siku jioni, na hata sasa bado zipo kila ifikapo jioni zinaonekana upande wa Magharibi zikiwa zimekaribiana kabisa, ila siku za nyuma zilikuwa zinaonekana zikiwa mbali mbali
 
Mungu yupo wanaosema Mungu hayupo kina Kiranga wanakosea sana. Halafu nimejifunza kitu kipya leo Saturn na Jupiter ni gesi tu hamna ardhi ama solid ground kama Mars. Halafu Jupiter ina miezi 79 dah.

Ukija kwenye Saturn utofauti wake ni ile ring inayoizunguka na mwezi wake mmoja maarufu Titan
Usisahau ile ring ni vipande vingi sana vya mawe
 
.
20201221_195557.jpeg
 
Nathibitisha kwamba Mungu yupo, kwa ushahidi wa kuumba ulimwengi usioonekana kwa macho (malaika n.k) na ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(ambao viumbe vyoye tunaishi yaan binadamu wanyama, Mimea ardhini, ndege na viumbe vya baharini. Pia vitu alivyoviumba kwenye anga kama nyota, jua, sayari na vimbondo mbalimbali)
Thibitisha Mungu kaumba ulimwengu.

Hapo juu umepiga hadithi tu. Hujathibitisha chochote.
 
Back
Top Bottom