Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Nililisubiri sana pia hili tukio usiku wa kuamkia leo ila wingu liliharibu kila kitu (Ifakara, MOROGORO).Nipo Dar lakini sioni kitu,kuna wingu la mvua tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nililisubiri sana pia hili tukio usiku wa kuamkia leo ila wingu liliharibu kila kitu (Ifakara, MOROGORO).Nipo Dar lakini sioni kitu,kuna wingu la mvua tuu
Thibitisha Mungu yupo.Mungu yupo wanaosema Mungu hayupo kina Kiranga wanakosea sana. Halafu nimejifunza kitu kipya leo Saturn na Jupiter ni gesi tu hamna ardhi ama solid ground kama Mars. Halafu Jupiter ina miezi 79 dah.
Ukija kwenye Saturn utofauti wake ni ile ring inayoizunguka na mwezi wake mmoja maarufu Titan
Kwa hiyo unajua MUNGU yupo ila unataka uthibitisho tu?Thibitisha Mungu yupo.
Hiyo kitu nimeiona just above mount Kilimanjaro. Nikamuuliza rafiki yangu hii ni kitu gani? Anyway hatukua aware kama ndo masayari yenyewe.Inakuwaje wanajamvi?
Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida.
Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare.
Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati anga limefunika na pupwe linapuliza.
Kumbukeni hili ni tukio la Kihistoria. Ilirekodiwa na waba anga wa zamani march 14 1200, na baada ya miaka 400 1600. Baada ya miaka 400 tena imetokea leo.
Wanajamvi please mlioko nyumbani Tokeni nje basi mtutumie mapicha ya Jupiter na sayari nayoipenda kuliko zote the gas giant Saturn. Naipenda Saturn kwasababu ya mwezi wake titan inawezekana kuna uhai kwenye iyo Saturn moon titan na labda ndio huko tuaenda tukifa.
Tukio kama hili la leo litatokea tena baada ya miaka 80 2080. Na baada ya hapo litatokea tena baada yya miaka 400 2400.
Ntafurahi sana mwanajamvi yeyote atakayeweka picga aliyopiga ya hizi sayari na nipo tayari kutoa zawadi.
God bless humanity
nani kakudanganya jupiter na saturn ni gesi?Mungu yupo wanaosema Mungu hayupo kina Kiranga wanakosea sana. Halafu nimejifunza kitu kipya leo Saturn na Jupiter ni gesi tu hamna ardhi ama solid ground kama Mars. Halafu Jupiter ina miezi 79 dah.
Ukija kwenye Saturn utofauti wake ni ile ring inayoizunguka na mwezi wake mmoja maarufu Titan
Ohoo umeanzaThibitisha Mungu yupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.Ohoo umeanza
Mungu yupo na Mungu amejengwa katika fikra huru za kiroho, binadamu tuna hulka ya uchaguzi kuchagua vile ambavyo unadhani na kufikiri huo ndio ufikra wako lazima tuheshimu mawazo yako hata kama yamejengwa kipuuzi, lakini suala la uwepo wa Mungu ni halisi maana kuzaliwa na baba na usimfahamu hakukufanyi kuwa huna baba la hasha una baba lakini haumfahamu.
Mtazamo wa udogo wa dunia kwenye ulimwengu umekuwa mtazamo hasi kwa wasomi wengi hususan wasomi watafiti wa mambo ya kianga, ambao hudhani kuwa haiwezekani Mungu awe Mungu wa kipande cha mchanga (makisio ukubwa wa dunia katika ulimwengu) lakini usahau wao upo wanasahau katika mwili wetu kidole ni sehemu ya mwili.
Dunia ni sehemu, ya uumbwaji wa viumbe vya Mungu.
Mungu akubariki
Hapana. Nataka uthibitisho kwamba Mungu yupo.Kwa hiyo unajua MUNGU yupo ila unataka uthibitisho tu?
Kwa elimu zaidi kuhusu hizi habarinani kakudanganya jupiter na saturn ni gesi?
La Chaz kijiwe Cha mashoga nasikiaMkuu mm ndo natoka hapa La chaz kwan kuna nini kinaendelea[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vip leo zitaonekana nikaangalie?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa kwangu kuna mapaka yanalia kama watu, siwezi kutoka nje.
Wewe tuthibitishie moyo wa Mapenzi unao Uma uko wap!? Sababu hakuna hata mmoja alie wahi kuuona ila kila mmoja anahis maumivu yakeHapana. Nataka uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Hilo halioneshi kwamba najua Mungu yupo.
Kama ninavyoweza kutaka uthibitisho kwamba Wagagagigikoko wapo.
Bila hilo kuonesha kwamba najua Wagagagigikoko wapo.
Thibitisha Mungu yupo.
..La Chaz ya Songea mkuu???Mkuu mm ndo natoka hapa La chaz kwan kuna nini kinaendelea![]()
![]()
![]()
Mkuu mm ndo natoka hapa La chaz kwan kuna nini kinaendelea
Haswaaa.... [emoji482][emoji482][emoji482]..La Chaz ya Songea mkuu???
Moyo wa mapenzi ni nini?Wewe tuthibitishie moyo wa Mapenzi unao Uma uko wap!? Sababu hakuna hata mmoja alie wahi kuuona ila kila mmoja anahis maumivu yake
Kama kwel una moyo wa kisukuma dam pekee basi jua wewe ndio mjinga ila Dunia nzima tunajua kua Kuna moyo wa Mapenzi ambao Hua unauma na pia Hua unafuraisha kama umepinga uwepo wa moyo wa Mapenz kwa binadam basi huwezi kukubal kua Kuna munguMoyo wa mapenzi ni nini?
Mimi sijawahi kuusema huo moyo wala siuelewi, naujua moyo unaosukuma damu.
Labda wewe uanze kunielezea moyo wa mapenzi ni kitu gani, upo wapi, nithibitishie upo. Elezea upo sehemu gani.
Mimi wapi nilikutajia moyo wa mapenzi?
Yani moyo wa mapenzi uutaje wewe, halafu unilazimishe niuelezee mimi?
Na kama upo, na mimi nikashindwa kuuelezea, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Logical non sequitur.