Bado mdogo sana wewe kwenye haya mambo. Omba sanaUkipuuzia hakuna baya lolote utapata, ukiwaza na kuchukuliwa serious tegemea mabalaa mbele. Uchawi dawa yake ni kupuuzia. Ndio maana unashauriwa ukisikia usiku wachawi wanawanga au kucheza juu ya bati, toka nje kaa jifanye huna habari tena vuta na kiti kabisa chukua simu peruzi mtandaoni.
Wachawi wanapenda kutiliwa maanani, ukiwapuuzia hawana tena issue
Asante kiongoziUkipuuzia hakuna baya lolote utapata, ukiwaza na kuchukuliwa serious tegemea mabalaa mbele. Uchawi dawa yake ni kupuuzia. Ndio maana unashauriwa ukisikia usiku wachawi wanawanga au kucheza juu ya bati, toka nje kaa jifanye huna habari tena vuta na kiti kabisa chukua simu peruzi mtandaoni.
Wachawi wanapenda kutiliwa maanani, ukiwapuuzia hawana tena issue
Nshomile....umejenga wapi Mbweni au Kanyigo?Mimi hili hekalu langu nilikabidhiwa ndani ya miezi miwili tu baada ya kuwapa kampuni tenda ya ujenzi😎😎😎
View attachment 2369574
We utakua mchawi, kusalimia a kitu Gani Kila mtu kaja mjini kimpango wake. Kama unaona mtu kujenga makazi mazuri ni maringo Rudi huko kijijni kwenu ukaishi kwenye nyumba za nyasi.Unajenga mkoa gani, wilaya gan nk. Lakini watu wengi wakipata vipesa kidogo unaanza dharau sana kusalimia majirani, ubabe usio na msingi, kujiona umeyapatia maisha ndio wanaanza kukufanyia visa na mikasa ili ukome. Rekebisha na majirani wape hi, wasalimie saidia unapoweza then fanya mambo yako utaona fresh sanaa.
Kumbe unasali huku? Ndio maana, basi sitakulaumu tenaMwaga maji ya Mwamposa kuzunguka kiwanja chako
Nyie mnaojifanya mnajua Sana ndio mnaoathirika na uchawiBado mdogo sana wewe kwenye haya mambo. Omba sana
Chukua huo ushauri wangu, uchawi ukipuuzia haufanyi kazi. Mm nimewahi kwenda maeneo hatarishi kwa uchawi na kutishwa kila namna, Wala sikuwa na time.Asante kiongozi
Ulimfanyeje ndugu.Hizi nyumba hizi zina mambo, na mara nyingi wanakuaga ni watu wa jirani na hapo wanaofanya mauza uza
Mimi nlivonunua kibanda hichi balozi hakupenda sababu tuliuziana kwa kufata sheria, basi nlivoanza kukarabati ikawa anakuja kubeba udogo, yaan kila mafundi wakija na yeye lazima atie timu kubeba udongo.
Nikawa najiuliza uyu mtu anakuja kubeba udongo wa nini isitoshe udongo wenyewe ni mfinyanzi kabisa wakutengenezea vyungu na ilihali dar hatutengenezi vyungu.
Baada ya miezi miwili ukuta ukadondoka akawa anapita kusema mbovu kwa watu....nlichomfanya haji kunisahau maiaha yangu yote mwaka wa 4 huu nikipita njia hii na yeye anapita njia nyingine yaan ananikimbia
Ulianza ujenzi na mguu gani? Kama ulianza na Mungu tegemea ulinzi wa ki Mungu. Kama ulianza na zindiko la waganga, pambana mwana wane, mwenye kisu kikali ndiye alayr nyamaWadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.
Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye mchanga.
Tukio hilo nililipuzia nikamtupa huyo sungura kwa kumfukia kwenye shimo.
Mwezi huu tena baada kusimama ujenzi kwa muda mrefu nilianza kujenga fensi cha kushangaza kwenye msingi uliochimbwa tulikuta ngozi ya kondoo ikiwa imefukiwa napo nilipuzia
Kilichosababisha kuandika thread hii ni tukio la leo tumekuta kisu kilicho na damu pamoja na manyoya ya ndege kisu kikiwa na damu.
Niombe wadau walioexperience changamoto hiyo mlifanyeje. Lakini nini maana ya mauzauza hayo? Nini kinatafutwa
Kuhusu kiwanja niliuziwa na kijana mmoja ambaye naye alinunua kwa mmiliki, ambapo huyo kijana naye anaishi karibu na jengo langu ingawa miye sijahamia
jibu sahihi ni endelea kupuuziaLakini nini maana ya mauzauza hayo
Mzee hapo hakuna uchawi,hizo zote zinaitwa poteza maboya,kama uchawi ungepata madhara toka mwanzo uliposhika sungura,ishu ya msingi jifanye nawe chizi nunua kuku alafu chinja jifanye unamwaga damu kuzunguka kiwanja chako chote,alafu uyo kuku nenda kapige supu,na kuhakikishia huyo anayejifanya ana mwaga uchawi kwako akiona hiyo damu atajaribu tena ujinga,ishu kama hizo nimekutana nazo sana huwa naziuwa kikatili hivyoWadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.
Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye mchanga.
Tukio hilo nililipuzia nikamtupa huyo sungura kwa kumfukia kwenye shimo.
Mwezi huu tena baada kusimama ujenzi kwa muda mrefu nilianza kujenga fensi cha kushangaza kwenye msingi uliochimbwa tulikuta ngozi ya kondoo ikiwa imefukiwa napo nilipuzia
Kilichosababisha kuandika thread hii ni tukio la leo tumekuta kisu kilicho na damu pamoja na manyoya ya ndege kisu kikiwa na damu.
Niombe wadau walioexperience changamoto hiyo mlifanyeje. Lakini nini maana ya mauzauza hayo? Nini kinatafutwa
Kuhusu kiwanja niliuziwa na kijana mmoja ambaye naye alinunua kwa mmiliki, ambapo huyo kijana naye anaishi karibu na jengo langu ingawa miye sijahamia
Ni rahisi tu kama una imani kwa Yesu. Fanya hivi: chukua maji kwenye chupa, sali ukisema, kuanzia sasa haya si maji tena bali ni DAMU YA YESU kwa Jina la Yesu. Wao si walimwaga damu ya wanyama? Basi wewe mwaga Damu ya Yesu mahali hapo huku ukisema; Damu ya Yesu inanena mema matupu juu yangu, rudia mara nyingi. Weka imani kwa Yesu, kazi imekwisha, endelea na ujenzi na fanya hivyo mara kwa mara.Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.
Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye mchanga.
Tukio hilo nililipuzia nikamtupa huyo sungura kwa kumfukia kwenye shimo.
Mwezi huu tena baada kusimama ujenzi kwa muda mrefu nilianza kujenga fensi cha kushangaza kwenye msingi uliochimbwa tulikuta ngozi ya kondoo ikiwa imefukiwa napo nilipuzia
Kilichosababisha kuandika thread hii ni tukio la leo tumekuta kisu kilicho na damu pamoja na manyoya ya ndege kisu kikiwa na damu.
Niombe wadau walioexperience changamoto hiyo mlifanyeje. Lakini nini maana ya mauzauza hayo? Nini kinatafutwa
Kuhusu kiwanja niliuziwa na kijana mmoja ambaye naye alinunua kwa mmiliki, ambapo huyo kijana naye anaishi karibu na jengo langu ingawa miye sijahamia
...Mkuu, kama Bungalow la Ghorofa kama Hilo Tends ilikuwa Kiasi Gani?? Kumradhi lakini....Mimi hili hekalu langu nilikabidhiwa ndani ya miezi miwili tu baada ya kuwapa kampuni tenda ya ujenzi[emoji41][emoji41][emoji41]
View attachment 2369574