Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

Hizi nyumba hizi zina mambo, na mara nyingi wanakuaga ni watu wa jirani na hapo wanaofanya mauza uza

Mimi nlivonunua kibanda hichi balozi hakupenda sababu tuliuziana kwa kufata sheria, basi nlivoanza kukarabati ikawa anakuja kubeba udogo, yaan kila mafundi wakija na yeye lazima atie timu kubeba udongo.

Nikawa najiuliza uyu mtu anakuja kubeba udongo wa nini isitoshe udongo wenyewe ni mfinyanzi kabisa wakutengenezea vyungu na ilihali dar hatutengenezi vyungu.

Baada ya miezi miwili ukuta ukadondoka akawa anapita kusema mbovu kwa watu....nlichomfanya haji kunisahau maiaha yangu yote mwaka wa 4 huu nikipita njia hii na yeye anapita njia nyingine yaan ananikimbia
Ulimfanyaje?
 
Jifanye kama hauoni vile... Endelea na ujenzi wala usimwambie jirani yoyote, hapo unatishwa. Ukijichanganya kwenda kwa mganga ndiyo utajichanganya kabisa na hiyo nyumba hautamaliza..
Wenzio tulikuta jeneza chini ya mchanga na ujenzi ukaendelea afu wewe unasema kisu chenye Damu au ngozi, piga kazi bra
 
Sawa ila ukiwa unaenda weka unafki kwa majirani kidogo, unajua sisi weusi nuksi sana, yaani unapiga hatua kimaendeleo majirani wanavimba hasira so kuepusha wape hi kidogo, jifanye unawasikiliza ushauri wao nk yaani fast mauza uza yanaisha
Jirani mmj alinijibu utumbo nilimtafakari Sana. Ilikuwa katika kujadil changamoto za mtaa, akaongea povu Moja nikaona huyu ni gele tu. Wivu na shombo yaani usimuamini MTU katika maisha yako
 
Jifanye kama hauoni vile... Endelea na ujenzi wala usimwambie jirani yoyote, hapo unatishwa. Ukijichanganya kwenda kwa mganga ndiyo utajichanganya kabisa na hiyo nyumba hautamaliza..
Wenzio tulikuta jeneza chini ya mchanga na ujenzi ukaendelea afu wewe unasema kisu chenye Damu au ngozi, piga kazi bra
Mmh jeneza? Asante kiongozi
 
Nashukuru sana kwa matumaini nimefarijika nilikuwa nimekataa tamaa
 
Habari Mkuu... Nimesoma changamoto yako kiukweli hayo mambo yapo na wengi humu watapuuza ila kuna vitu ambavyo watu wengi tunavipuuza tunaponunua aidha Ardhi, au Gari au Kitu chochote ambacho kimepita kwenye mikono au macho ya wamiliki tofauti??

Siku zote Ukinunua ardhi kutoka kwa mtu ambaye siyo Mimlki wa ardhi hiyo tafadhari ikomboe hiyo ardhi iwe ndani ya na ikubali kupokea Jina lako kama Mrithi wa halali.. Kumbekeni ardhi inaweza kuwa na fungamano na mambo ya urithi ambayo ukiinunua yale mambo yataendelea kutokukutambuwa bali yanamtambuwa mumilik wa aawali aliyekuwa analihudumia..

Jamani hakuna Mila yoyote duniani isiyokuwa na Mila na Desturi zake. Hata hao mnaowasema kuwa ni wazungu wana mila zao.

Ushauri wangu kwenye hilo.. Mtafuta mimiliki wa awali siyo huyu kijana aliyekuuzia. Nenda Muite mahala Mwambie mimi ndiye nileyenunua ardhi yako uliyokuwa umemuuzia fulani ila naona kama ujenzi unasuasua naomba uniruhusu hii ardhi iwe ndani ya Ukoo wa Jina langu.. Hakika atakwambia maneno mengi na ataifungua hiyo ardhi na hautakuta hayo mauza uza yoyote.

Haujawahi kusiki Mtu ananunua mifugo kama muuzaji siyo Mumiliki halali wa huo mfugo huyo mfugo utatoroka na kurudi uliko kulia... Mifano halisi Mbwa na Ng'ombe........
Hayo ni Machache tu.

Mfano wangu Nilinunua eneo sehemu ambayo ni very potential huku Dodoma (wagogo na Warangi Mnawajua) tena kwa bei nafuu sana.
Nilimtafuta mmiliki wa ardhi wa awali nikamwambie anikabidhi ardhi yake kutoka kwenye ukoo wake na ardhi iwe ndani ya uumiliki wangu alicheka sana akasema wewe mjanja sana mwenzio ameshindwa kuliendeleza nikasema najua hizi mali zina maagano kwa hiyo lazima maagano yavunjwe
Mmmh hii hatari ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Nyumba ya ma angu mdg ilianzaga mauzauza kama hayo kabla aijaisha.......ilivoisha usiku watu wakilala wanatekenywa badae ikaja kutokea majoka mawili makubwa............alafu yakapotelea ndani.......wakaleta watu wa maombi usiku tukasikia kishindo nje asubui kukuta rundo la furushi limekaa irizi tukazimwagia mafuta ya taa tukachoma zikagoma kuwaka Mchungaji akaomba tena ndo zikawaka........hyo nyumba nishawai kupapaswa na limtu usiku nlitoka na neti hadi kweny taa na Kuna siku nmelala nkaanza kuvutwa ukutani na mazombie wacha nipige kelele kumbe watu hawanisikii..... nlitoka nduki hua naenda mchana jion nageuza kwangu............ wachawi ndo hua wanaanza hivohivo ukijifanya kupuuzia ukimaliza kujenga hyo nyumba ndo utajua mazombie tz yapi mengi ushauri wangu fanya maombi yani fanya maombi toa na sadaka
Mbona unanitisha hivyo
 
Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.

Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye mchanga.

Tukio hilo nililipuzia nikamtupa huyo sungura kwa kumfukia kwenye shimo.

Mwezi huu tena baada kusimama ujenzi kwa muda mrefu nilianza kujenga fensi cha kushangaza kwenye msingi uliochimbwa tulikuta ngozi ya kondoo ikiwa imefukiwa napo nilipuzia

Kilichosababisha kuandika thread hii ni tukio la leo tumekuta kisu kilicho na damu pamoja na manyoya ya ndege kisu kikiwa na damu.

Niombe wadau walioexperience changamoto hiyo mlifanyeje. Lakini nini maana ya mauzauza hayo? Nini kinatafutwa

Kuhusu kiwanja niliuziwa na kijana mmoja ambaye naye alinunua kwa mmiliki, ambapo huyo kijana naye anaishi karibu na jengo langu ingawa miye sijahamia
Huyo aliyekuuzia ndio anafanya hayo, yalinitokeaga Mimi mwaka 2001 kwenye eneo langu, yule jamaa kaniuzia halafu kumbe akawa anaparoga nipasahau, nilienda kwa babu pemba, nikachukua mchanga katika eneo langu akausomea Sana, halafu akaniambia kautupe pale kwenye eneo lako, aisee yule jamaa alikuja kuumwa Hadi nilimuonea huruma,sijui alienda kujariba tena ujinga wake, miguu ilikuwa inampata Moto Sana ,kazunguka Hadi muhimbili wapi,

Sasaivi ni majirani tunaheshimiana na umri ushaenda
 
Mbona unanitisha hivyo
Mkuu mim sikutishi mchawi akimbiwi ......Fanya maombi kwa ajili ya nyumba Yako kwa Imani Yako...... unaweza pia ita masheikh au wachungaji waombe wakiwa hapo hapo
Damu ni kafara kwa hyo kua makini inaweza kua ni mambo ya chuma ulete ndio imetengenezwa hapo au mauti.....haya mambo sio mazuri.. ....kwa hyo lazima nikwambie ukweli
 
Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.

Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye mchanga.

Tukio hilo nililipuzia nikamtupa huyo sungura kwa kumfukia kwenye shimo.

Mwezi huu tena baada kusimama ujenzi kwa muda mrefu nilianza kujenga fensi cha kushangaza kwenye msingi uliochimbwa tulikuta ngozi ya kondoo ikiwa imefukiwa napo nilipuzia

Kilichosababisha kuandika thread hii ni tukio la leo tumekuta kisu kilicho na damu pamoja na manyoya ya ndege kisu kikiwa na damu.

Niombe wadau walioexperience changamoto hiyo mlifanyeje. Lakini nini maana ya mauzauza hayo? Nini kinatafutwa

Kuhusu kiwanja niliuziwa na kijana mmoja ambaye naye alinunua kwa mmiliki, ambapo huyo kijana naye anaishi karibu na jengo langu ingawa miye sijahamia
Mkuu ukiishi kwa kuogopa ogopa hutasonga... ishi kwa kumwamini Mungu wako as long as hela unayotumia kujenga hiyo nyumba ni jasho lako.
 
Unajenga mkoa gani, wilaya gan nk. Lakini watu wengi wakipata vipesa kidogo unaanza dharau sana kusalimia majirani, ubabe usio na msingi, kujiona umeyapatia maisha ndio wanaanza kukufanyia visa na mikasa ili ukome. Rekebisha na majirani wape hi, wasalimie saidia unapoweza then fanya mambo yako utaona fresh sanaa.
Kumbe we huwajui waswahili
 
Mkuu mim sikutishi mchawi akimbiwi ......Fanya maombi kwa ajili ya nyumba Yako kwa Imani Yako...... unaweza pia ita masheikh au wachungaji waombe wakiwa hapo hapo
Damu ni kafara kwa hyo kua makini inaweza kua ni mambo ya chuma ulete ndio imetengenezwa hapo au mauti.....haya mambo sio mazuri.. ....kwa hyo lazima nikwambie ukweli
Mambo ya kutekenywa tena, ila nikipata mteja ninauza kuishi na walughalugha inahitaji uvumilivu sana
 
Back
Top Bottom