choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Tatzo sio ndege bali ni sheria ya manunuzi, bunge lilihusishwa mkuu?
Lakin pia wapandaji kwa nchi yetu ni wachache labda kukiwa na offer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo sio ndege bali ni sheria ya manunuzi, bunge lilihusishwa mkuu?
Kweli kabisa. Kwa mfano MWALLA yeye kila akiona mchango wangu lazima atapinga tu (hata kama hajausoma), eti kwa sababu yeye yuko upande ulee.Swala la ununuzi wa ndege linajadiliwa kisiasa tu. Uelekeo wa mijadala yetu unategemea mno misimamo ya kisiasa na si uhalisia.
Hata humu JF kila mjadala hoja kuwa positive au negative angalia IDs maarufu utaona zile hoja zao zinakinzana kutokana na misimamo yao kisiasa.
We LOFA umeacha kipaumbele cha kununua meli na vivuko umehamia huku?Kosa vyote Duniani lakini usikose akili,wewe huna akili kabisa,nitajie taifa lolote Duniani lenye mfumo usiofuata sheria kisha likaendelea,Eti " Go JPM" yes let him go to hell,kazungukwa na wajinga Kama wewe unadhani nchi itaendelea wapi?
Bunge lilihusishwa sema tatizo mlikuwa mmejifunga vitambaa mdomoni na usoni.Tatzo sio ndege bali ni sheria ya manunuzi, bunge lilihusishwa mkuu?
Kwani wewe ni mgeni hapa mjini???Kipengere gani kiliko kiukwa mzee??
Anamwita mwanaume wake wa shoka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona mleta mada amejawa na mahaba kwa jpm mpaka anashindwa kuelewa hoja ya msingi ya upinzani [emoji23][emoji23]
Hahahaha... Kwa hiyo unajiamini kwa Kuwa Kenyatta kasema???? Tunakoseaga sana na muda mwingi tunaishia kuhaha katika mipango mingi isiyo ya kudumu kwa kuiga nchi nyingine zinavyojikwamua kiuchumi. Mazingira ya nchi na nchi hayafanani mkuu..., Tanzania tunahitaji strategies zetu zinazotufaa sisi kwa mazingira yetu na ukomavu wetu wa kimaendeleo. Hushangai ni kwanini kuanzia uhuru tumekuwa na frameworks, strategies na reforms nyingi pasipo mafanikio? Tunapenda kugusagusa kila sehemu, pasipo kufikiri kama tunachokigusa kinaendana na hali yetu.Kuna muda huwa nawashangaa sana kama siyo mno Watanzania kwamba ni kwanini hawataki Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa ' Zawadi ' ya Rais ambaye ana ' maono ' makubwa sana ya Kimaendeleo kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.
Kwa wale Ndugu zangu ambao mmekuwa mkipiga Kelele juu ya Ununuaji wake wa Ndege ili kuweza kuzidisha Kasi ya Utalii nchini nadhani kwa hili alilolifanya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta sasa mtakuwa na la Kujifunza na ikibidi bado hamjachelewa kumuomba radhi Mheshimiwa Rais JPM au Kutengua ' Kauli ' zenu kwani kiukweli Rais JPM yupo sahihi kwa 100% na hizi Ndege anazozinunua zitaongeza mno Ukuaji wa Uchumi na hasa Sekta nzima ya Utalii kwa nchi ya Tanzania.
Ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua rasmi Safari ya Ndege ya moja kwa moja kutoka Nairobi ( Kenya ) hadi New York ( Marekani / USA ) ambayo itaanza rasmi tarehe 29, October 2018 na mpaka hivi sasa tayari Watu 7000 wameshakata ' Tiketi ' zao ili kuwemo katika hiyo Safari ya Kwanza.
Kwa mujibu wa Rais Kenyatta amesema kwamba uzinduzi huu wa hii Safari ya moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani ( USA ) kutaongeza maradufu ' mapato ' katika Sekta nzima ya Utalii ya nchini Kenya na pia Uchumi wa nchi yake utakuwa kwa haraka kwakuwa Kenya imekuwa na ' Vivutio ' vingi ambavyo Wamarekani wengi hupenda kuvitembelea mara kwa mara.
Bado nitasema na leo nasema tena bila ' Unafiki ' kwamba kama kuna ' Zawadi ' ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Watanzania basi ni kwa kutupatia Rais mwenye maono ya kweli, yenye tija na uhakika wa Kimaendeleo kwa nchi hii Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.
Hakuna Rais ninayempenda na kumkubali kama JPM na Mwenyezi Mungu ambariki sana azidi kutuletea Maendeleo Watanzania.
Source: Daily Monitor
Nawasilisha.
Bahati mbaya sana mm ni mwanachi huru wala siko upande ule unaodhaniBunge lilihusishwa sema tatizo mlikuwa mmejifunga vitambaa mdomoni na usoni.
maandishi mabovu, hayasomekiKuna muda huwa nawashangaa sana kama siyo mno Watanzania kwamba ni kwanini hawataki Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa ' Zawadi ' ya Rais ambaye ana ' maono ' makubwa sana ya Kimaendeleo kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.
Kwa wale Ndugu zangu ambao mmekuwa mkipiga Kelele juu ya Ununuaji wake wa Ndege ili kuweza kuzidisha Kasi ya Utalii nchini nadhani kwa hili alilolifanya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta sasa mtakuwa na la Kujifunza na ikibidi bado hamjachelewa kumuomba radhi Mheshimiwa Rais JPM au Kutengua ' Kauli ' zenu kwani kiukweli Rais JPM yupo sahihi kwa 100% na hizi Ndege anazozinunua zitaongeza mno Ukuaji wa Uchumi na hasa Sekta nzima ya Utalii kwa nchi ya Tanzania.
Ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua rasmi Safari ya Ndege ya moja kwa moja kutoka Nairobi ( Kenya ) hadi New York ( Marekani / USA ) ambayo itaanza rasmi tarehe 29, October 2018 na mpaka hivi sasa tayari Watu 7000 wameshakata ' Tiketi ' zao ili kuwemo katika hiyo Safari ya Kwanza.
Kwa mujibu wa Rais Kenyatta amesema kwamba uzinduzi huu wa hii Safari ya moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani ( USA ) kutaongeza maradufu ' mapato ' katika Sekta nzima ya Utalii ya nchini Kenya na pia Uchumi wa nchi yake utakuwa kwa haraka kwakuwa Kenya imekuwa na ' Vivutio ' vingi ambavyo Wamarekani wengi hupenda kuvitembelea mara kwa mara.
Bado nitasema na leo nasema tena bila ' Unafiki ' kwamba kama kuna ' Zawadi ' ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Watanzania basi ni kwa kutupatia Rais mwenye maono ya kweli, yenye tija na uhakika wa Kimaendeleo kwa nchi hii Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.
Hakuna Rais ninayempenda na kumkubali kama JPM na Mwenyezi Mungu ambariki sana azidi kutuletea Maendeleo Watanzania.
Source: Daily Monitor
Nawasilisha.
Utakuwa hujamwelewa kusudio la bandiko lake.Hujatuambia Kenyatta kafanya nini kwenye bandiko lako
Enh, bila hao JF hainogi!Mkuu skuhz umekua ukianzisha Thread za kipuuz mno l.
Amelipuliza ataandika nini zaidi ya alichokiandika?Hujatuambia Kenyatta kafanya nini kwenye bandiko lako