Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mbweha nimekuuliza kiistarabu kutokana na maelezo yako kwenye mada, soma ulichoandika kwenye mada na maelezo uliyatoa baadaeNimekuambia kuwa tayari hadi hivi sasa Watu 7000 wameshakata Tiketi ili Kuipanda au Kufanya Safari hiyo na Jukumu la Abiria wangapi wapande linategemeana na uwezo wa Ndege na siyo lazima kwamba hao wote wasafiri hiyo hiyo tarehe bali kwa Shirika la Ndege la KQ tayari mpaka dakika hii limeshajihakikishia kupata ' Mapato ' fulani na pia ni dalili njema kwa Shirika kwa siku za baadae.
Huko Vyuo Vikuu mlienda Kusoma na Kuelemika kisawasawa au Kujifunza tu jinsi ya ' Kujitawaza ' vizuri mnapotoka Chooni Kunya?
Bora hata hawakuhusishwa kwani nao ndo walewale tuTatzo sio ndege bali ni sheria ya manunuzi, bunge lilihusishwa mkuu?
Kuunga mkono juhudi ni pamoja na kuiga matendo yake ambayo watu "wanaamini" ni mazuri. hakika kama Watanzania wote wangeunga mkono "juhudi zake" basi yale mazishi ya Ukara asingekuwepo mtu hata mmoja mana wote wangukuwa wanakunywa chai na waalikwa wao walio waita majumbani.Hatuna jins sasa zaidi ya kuunga mkono Juhundi za awamu ya Tano
Kazi kununua wapinzani? Alaa kumbe wapo sokoni wanajiuza hao wapinzani ! Kama mahangu vile au ?Wewe huwa ni bwege siku zote,tangu lini mnyarwanda akawa na akili? Eti mnajivunia Kagame kajitu kapumbavu kanakoipeleka Rwanda kumwaga Damu.
Kenya ina uchumi mkubwa mara tatu ya Tanzania, hakuna aliyempinga Magufuli kununua ndege ,tunachopinga ni kwamba ndege haikuwa kipaumbele kwa sasa,Hujiulizi kwa nini ajali za maji Africa ,Tanzania inaongoza?MV Bukoba watu 1500 walikufa,Spicer island watu 500,MV Nyerere watu 210.
Halafu unanunua ndege inayopandwa na watu 30 tu wenye uwezo kiuchumi ,Kenya ina mizizi ya utalii Tanzania tupo nyuma mno,Rais asiyependa exposure na mataifa makubwa Tanzania itatoa wapi watalii? Kazi kuharibu pesa kwa kununua wapinzani na kurudia uchaguzi,akili za hovyo kabisa hizi.
Hizo pesa za ndege zingenunua meli maisha ya watanzania yangekuwa salama.
Wewe ni bwege uliyetukuka.
Sema kunitukana , sio kututukana ! Sawa bwege ?Acheni kujifariji kwa kutumia mifano ya watu tunaolingananao na ambao nao nchi nzao ni masikini kama zetu.
Nimepanda Bombardier Ijumaa iliyopita kutoka Dom kuja Dar wala haijai (masiti kibao yako wazi).
Kwanza sisi teyari tuna madeni kibao hivyo ni hasara juu ya hasara.
Alafu kutuambia huyo mtu ni zawadi tuliopewa na Mungu, ni sawa na kututukana na ukome kabisa!!
Achana nao hao , sheria sheria mbona mbowe kala hela za sabodo sheria haijafuatwa ?Sheria ingefuatwa ndo tungefaidika nini? sanasana hadi hivi leo tungekuwa tunaambiwa stori za "michakato inaendelea"....
Go JPM Gooo!
Maadam unachofanya kinaonekana na wananchi tunakiappreciate waachie hao wanaotaka sheria waendelee kuzisubiri.
Jinyonge sasa ndo kashanunuaKichaa mwenzake hatuwezi kushindana na wewe maana you are incapacitated, watu hawahoji ununuzi wa ndege bali taratibu hazikufuatwa, yawezekana mnunuzi ali over value akapata hela za kujijengea migorofa huko rock city, hatujawahi kuwa na serikali ya mtu mmoja awe ndo muidhinishaji na mlipaji mkuu wa umma ambaye kicheo ni rais,
But time will tell,
The problem is, you jump to comments section without going through what is written. Learn to be keen. It will help you not to expose such damning weakness on your part.Hujatuambia Kenyatta kafanya nini kwenye bandiko lako
Amesema Amesema..Kwa mujibu wa Rais Kenyatta amesema
Hujafafanua kenyatta kafanya nini,unaleta story tuu.Sema kenyatta kafanya hiki.Kichwa cha habari na story hakuna kajipange
Fafanua kwa undani Kenyatta kafanyaje mkuu
Kazindua safari ya Ndege Kenya to USAHujatuambia Kenyatta kafanya nini kwenye bandiko lako
Hahah. Mshabadilisha gea angani. Mlisema madawa hamna mnanunua ndege, sasa mnasema sheria. Bure kabisa nyinyiTatzo sio ndege bali ni sheria ya manunuzi, bunge lilihusishwa mkuu?
Ina maana hamjamuelewa huyo auHujatuambia Kenyatta kafanya nini kwenye bandiko lako