Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Tofautisha Serikali ya Mapinduzi ZNZ na Jamhuri y Muungano wa Tanzania..titles zinajieleza. Ila kungekua na Serikali ya Tanganyika then no visiwani ingekua sahihi
 
Angalia kwenye bunge la Jamhuri kuna ME wangapi na KE wangapi ndio ufanye comparison. Hizo nafasi NNE na samia ya 5 zinawatosha sana.
 
Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Tumia akili kufikiri, acha ushabiki usiokuwa na TIJa, hii ni SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Elewa inapaswa kuundwa na watu gani
 
Nyie CDM embu wapeni wamama haki zao...acheni kutafuta sehemu ya kulinganisha....Baraza la mawaziri na mnachofanya nyie wapi na wapi?
 
Other interesting cabinet stats minus deputies:

Full ministers – 23

19 (83%) are men

4 (17%) are women

9 (39%) are PhD holders

0 -member from Zanzibar
Zanzibar wana cabinet yao huko.
 
Back
Top Bottom