Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Usijisahaulishe kuna SMZ na SMT Tanganyika ilishauawa baada ya hapo waweza jadili.
Jikite kwenye mada
 
Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Hujui kanuni za muungano na kwamba ni lazima wizara kadhaa zishikwe na wa upande wa Zanzibar sijui kama unajua hilo
 
Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Bado Prof. Mbarawa alikuwa mzuri.
 
Baraza Hili Limedhihirisha mambo mawili

1) Ubaguzi
jinsia ; kanda ; dini ( halina usawa wa kitaifa)

2) Dharau
mfano kitendo cha zanzibar kutopewa waziri hakijawahi tokea tangu uhuru

Kubwa RAIS AMEDHIHIRISHA ANAJUA “USHINDI “ WAKE ALIVYOUPATA HIVYO HANA DENI KWA YEYOTE HATA WALE AMBAO KARATASI ZINAONYESHA WALIMPA KURA

kiongozi aliyepora ushindi kamwe hawezi kuheshimu yeyote zaidi ya waliomsaidia kuiba kura kama ma DED wenye viburi
 
Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Unauliza swali ambalo hata mjinga hawezi kuuliza wewe ushasema serikali ya zanzibar ambayo katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania imeieleza itashughulika na Mambo yote yanayohusu zanzibar mtu wa bara ataingiaje, hii ni serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania nchi 2 zimeungana kuunda serikali moja. Hakuna serikali ya bara, mzanzibar anaweza kuwa waziri katika serikali ya jamhuri ya muungano lakini ni mtanganyika hawezi kuwa waziri katika serikali ya mapinduzi Kwa sababu sio serikali ya muungano.
 
Other interesting cabinet stats minus deputies:

Full ministers – 23

19 (83%) are men

4 (17%) are women

9 (39%) are PhD holders

0 -member from Zanzibar
Asante kwa uchambuzi mzuri mkuu. Lete na wa manaibu waziri tulunganishe dots.
 
Other interesting cabinet stats minus deputies:

Full ministers – 23

19 (83%) are men

4 (17%) are women

9 (39%) are PhD holders

0 -member from Zanzibar
Hata University wanawake ni wachache kulinganisha na wanaume mf chuo ninachosoma wanaume zaidi ya 3000 wanawake hata 400 hawafiki
 
Back
Top Bottom