Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Serikali ya Zanzibar sio ya muungano, hujajibu hoja.

Vv
 
Hata University wanawake ni wachache kulinganisha na wanaume mf chuo ninachosoma wanaume zaidi ya 3000 wanawake hata 400 hawafiki
Utetezi wako ni ujinga mtupu. Kama unayajua haya hiyo nguvu ya kuisema Chadema mliipata wapi?
 
Awamu hii, waislam na wanawake wajiandae kupoteza nafasi zao za mkurugenzi,ukuu wa wilaya ,ukuu wa mikoa, n.k
 
Baraza Hili Limedhihirisha mambo mawili

1) Ubaguzi
jinsia ; kanda ; dini ( halina usawa wa kitaifa)

2) Dharau
mfano kitendo cha zanzibar kutopewa waziri hakijawahi tokea tangu uhuru

Kubwa RAIS AMEDHIHIRISHA ANAJUA “USHINDI “ WAKE ALIVYOUPATA HIVYO HANA DENI KWA YEYOTE HATA WALE AMBAO KARATASI ZINAONYESHA WALIMPA KURA

kiongozi aliyepora ushindi kamwe hawezi kuheshimu yeyote zaidi ya waliomsaidia kuiba kura kama ma DED wenye viburi
Natamani nijue kanda pendwa wameingiza wangapi msimu huu, halafu kanda ya kaskazin, kus, na kati
 
Utasikia "Chadema kuna mfumo dume sana"!
EoxnGX9WEAAfn2z.jpg
 
Back
Top Bottom