tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Nimekutana na yule mama wa ilemela leo yuko na rundo la wapambe,nae chaliAmbao ni:
1. Ummy Mwalimu.
2. Joyce Ndalichako.
3. Jenista Mhagama
4 wanne nani vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutana na yule mama wa ilemela leo yuko na rundo la wapambe,nae chaliAmbao ni:
1. Ummy Mwalimu.
2. Joyce Ndalichako.
3. Jenista Mhagama
4 wanne nani vile?
Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Ambao ni:
1. Ummy Mwalimu.
2. Joyce Ndalichako.
3. Jenista Mhagama
4 wanne nani vile?
Ngoja tumwambie akuteue wewe sasa.Tumia akili kufikiri, acha ushabiki usiokuwa na TIJa, hii ni SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Elewa inapaswa kuundwa na watu gani
Sawa mkuu sisi tunasema hewala. Elimu yetu madrasa sasa tutafanyaje.Kweli Nyerere hakumaliza element za ukabila! Wewe umewachunguzaje hao wote makabila yao?! Je ni wasukuma au wana majina ya kisukuma?! Majina haitoshi kuhibitisha dini, kabila, kanda na jinsia mathalani majina ya Mwigulu Nchemba, marwa, robi, Shija, mussa, Adam, kulwa yapo kwenye dini, makabila na kanda mbalimbali. Intelectuals wanaangalia uwezo wengine tunaangalia kabila, dini, jinsia, ukanda nk. Kama Taifa tuangalie uwezo wa MTEULE kutimiza majukumu aliyopangiwa na kutuletea maendeleo inatosha!
Zanzibar karibu nchi yote ni waislamu ambao ni 99% wakati bara waislamu na wakristo ni karibu 50/50. Suala la waislamu kutosoma sio la kweli, linatumika kama kichaka cha kufanya hujuma.
Dorothy gwajimaAmbao ni:
1. Ummy Mwalimu.
2. Joyce Ndalichako.
3. Jenista Mhagama
4 wanne nani vile?
Chanzo cha takwimu yako tafadhaliHata bara waislamu na wakristo sio 50/50 waislamu tanzania bara ni 80/%
Serikali ya ZNZ ni ya wazanzibari tu bara haiwahusu.Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Hili ni baraza la maaskofu au la mawaziri
Serikali ya ZNZ ni ya wazanzibari tu bara haiwahusu.
Lakini ndani ya serikali ya JMT wazanzibari nao wamo (kwa kulazimishwa). Hivyo kutopewa nafasi za uwaziri ndani ya serikali ya JMT ni uonevu na ubaguzi.
Na katika kipengele cha uwezo, siamini kwamba Zanzibar hakuna watu wenye uwezo wa kushika nafasi za uwaziri ndani ya serikali JMT.
Kama sikosei hoja kuu hapa ni uteuzi wa mawaziri unaofanywa na rais kwa idadi ya wizara.Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ni mjumbe Katika Baraza la Mawaziri wa JMT.Makamu wa Rais ni mjumbe pia tena Rais asipokuwepo anaongoza kikao cha Baraza la Mawaziri.
Mpaka hapo utaona tayari kuna wa Zanzibar 2,based on their population and size of country I think it’s enough.
SMZ haina ubia na nyau wa Wabara bali JMT inajumuisha na Zanzibar. Sio kwamba Zanzibar wanapenda kuwa sehemu ya JMT bali ni kiherehere cha Watanganyika na maguvu yao kupenda kuwaburuta. Sasa Kama kweli mnawapenda mbona this time mnawabagua?Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Una maanidha Uwezo vs Sex ....!? Do u know what gender is!?Uwezo vs Gender
Vip.Naib wazir ArdhiSio Doroth Gwajima
Unajibu kama mtu aliyefariki kabla ya MuunganoKwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Yamkini hujui hata Baraza Hilo Ni la serikali ya Muungano 😀😀😀😀😀😀Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Mimi ni Muislam na tulikua tunaaminushwa eti CHADEMA is Christian partyOther interesting cabinet stats minus deputies:
Full ministers – 23
19 (83%) are men
4 (17%) are women
9 (39%) are PhD holders
0 -member from Zanzibar
Ambao ni:
1. Ummy Mwalimu.
2. Joyce Ndalichako.
3. Jenista Mhagama
4 wanne nani vile?