Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.

Yaani wewe ni bogus kabisa..!!

Hujui kwamba hii ni Serikali ya Muungano wa Tanzania!??

Na si ajabu eti na wewe ni degree holder
 
Ambao ni:
1. Ummy Mwalimu.
2. Joyce Ndalichako.
3. Jenista Mhagama
4 wanne nani vile?
Labda bibi yake stonehenge. Lissu alisema. Ponda alisema. Watanzania wala hawana hatia. Ni sirro na Mabeyo na Mahera. Walaaniwe
 
Other interesting cabinet stats minus deputies:

Full ministers – 23

19 (83%) are men

4 (17%) are women

9 (39%) are PhD holders

0 -member from Zanzibar
Ukabila mbona hujataja asilimia zake?
 
0 -member from Zanzibar

Kuna wizara zinazohusu 3 zinazobeba Muungano kama Wizara Mambo ya Nje, wizara ya Mambo ya Ndani na wizara Ulinzi. Ina maana kuimarisha Muungano wameshindwa kumpata mzazibari mmoja awe waziri au hata Naibu waziri .

Dhambi ya ulafi ktk uchafuzi wa uchaguzi Mkuu dhidi ya upinzani sasa imeendelezwa hata kwa wabunge wana CCM Zanzibar kutoshirikishwa ktk nafasi za uongozi katika wizara mtambuka za Muungano hizo 3 nilizoziainisha hapo juu.
 
Other interesting cabinet stats minus deputies:

Full ministers – 23

19 (83%) are men

4 (17%) are women

9 (39%) are PhD holders

0 -member from Zanzibar
Tatizo hawa ndugu zeti wa ccm huwa hawaoni makosa yao instead wanarudisha lawama kwa upinzani

Kama unakumbuka ccm ndio imewaonea sana wanawake wa chadema kwa kupitia jeshi la polisi na hata wanasiasa wa ccm wamewahi kuwatukana sana wamama wa upinzani lakini spika hakuwahi kunyanyua kinywa kukemea hivyo vitendo, leo hii ametumia mabavu kuwaingiza covid 19 bungeni, halafu anamwambia mbowe aache mfumo dume
 
Kwan kwenye serikali ya Zanzibar kuna wabara wangap?
Na zanzibar kwenye serikali yao kuna wakristo wangapi..
Mtu asiteuliwe kwa kuangalia dini ama race,bali uwezo.
Zanzibar karibu nchi yote ni waislamu ambao ni 99% wakati bara waislamu na wakristo ni karibu 50/50. Suala la waislamu kutosoma sio la kweli, linatumika kama kichaka cha kufanya hujuma.
 
Back
Top Bottom