Baraza Hili Limedhihirisha mambo mawili
1) Ubaguzi
jinsia ; kanda ; dini ( halina usawa wa kitaifa)
2) Dharau
mfano kitendo cha zanzibar kutopewa waziri hakijawahi tokea tangu uhuru
Kubwa RAIS AMEDHIHIRISHA ANAJUA “USHINDI “ WAKE ALIVYOUPATA HIVYO HANA DENI KWA YEYOTE HATA WALE AMBAO KARATASI ZINAONYESHA WALIMPA KURA
kiongozi aliyepora ushindi kamwe hawezi kuheshimu yeyote zaidi ya waliomsaidia kuiba kura kama ma DED wenye viburi