Mlionunua Magari kwa kuagiza kutoka Japan tafadhali njooni hapa

Hivi gari inachezewaje kilometers ikiwa bado Japan? Kule si kuna inspection kabla gari haijaondoka?

Achana na haya ambayo yapo bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japan kuchezea kilomita ni kosa la jinai... Ila huku bongo ndio kuna hiyo michezo... Wananchokifanya hawa wanaojiita wanasaidia watu kuagiza magari huwa hawakuonyeshi gari ina imetembea kilomita ngapi. Kama imetembea km 150,000 wao wataipost kwnye page zao na kuandika imetembea km labda 50,000 tu ilinuvutiwe na kwa sababu gari wakikuagizia inafikia kwao kwanza hapoa ndio wanapata mwanya wa kuchezea kilomita na kuweka zile walioandika hadi ukavutiwa nayo... Wabongo wengi tunanunua gari kwa kuangalia imetembea kilomita ngapi
 
Screenshot_20200117_122101.jpg
Screenshot_20200117_122113.jpg

Soma mileage za hiyo gari... Ni gari moja lakini waagizaji wameweka kilomita zao zao, na wauzaji wenyewe enhance wameweka kilomita halisi
Hivi gari inachezewaje kilometers ikiwa bado Japan? Kule si kuna inspection kabla gari haijaondoka?

Achana na haya ambayo yapo bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mtamu huu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa upande wangu nawatumia sana Kimomwe Motors Limited. Wanakushauri, unapata nafasi kubwa ya kuchagua gari nzuri sababu wana deal na kampuni nyingi za huko nje. Pia itakusaidia kupata gari kwa bei nafuu, dhamana ya pesa yote wanabeba wao na gari ikipata tatizo bandarini au kwenye meli wanawajibika bila kukuzungusha....wenyewe wana masemo wao kwamba “tunampa huduma bora mteja ili atuwezeshe kukua zaidi kwa kuleta wengine na wengine”

Ukifika kwenye ofisi zao utachagua nao gari kwa pamoja, watakufanyia hesabu ya jumla ili ujue bajeti kamili na ndio hiyo itakua kwenye mkataba. Utaonyeshwa CIF kwa uwazi, Ushuru wa TRA, na gharama za Bandari na Clearing. Wao wanapata discount kutoka kwenye kampuni hiyo ya nje watakapochukulia gari yako ambayo ndio wanaiweka kama fedha ya kukubebea dhamana chombo chako mpaka wakukabidhi. Ukipata dharula ya kutotimiza kiasi cha kodi mara nyingi wanakulipia.

Zaidi wapigie kwenye 0746267740 au nenda ofisi zao za Dar es Salaam na Mbeya
Sawa agent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be Forward gari zao mbofumbofu.
Kampuni za kuaminika kupata quality car ni:
Autorec na Japanesevehicles.
Labda ulichagua ya nafuu sana au bahati mbaya yako. mimi nimetumia sana beforward na kila mara nimepata gari nzuri kabisa. Tena huwa nawatumia na kufanya na clearing kabisa. Nikiitwa naenda kuchukua gari lenye registration kabisa. No usumbufu, no delay na giari zuri.
Ila kama umenuna gari labda kwa USD 1,500 lakini averege price ya gari ya aina hiyo ni USD 2,000 lazima yako itakua hafifu kidogo
 
Gharama zao za clearing zipoje?
 
Kwa upande wangu nawatumia sana Kimomwe Motors Limited. Wanakushauri, unapata nafasi kubwa ya kuchagua gari nzuri sababu wana deal na kampuni nyingi za huko nje. Pia itakusaidia kupata gari kwa bei nafuu, dhamana ya pesa yote wanabeba wao na gari ikipata tatizo bandarini au kwenye meli wanawajibika bila kukuzungusha....wenyewe wana masemo wao kwamba “tunampa huduma bora mteja ili atuwezeshe kukua zaidi kwa kuleta wengine na wengine”

Ukifika kwenye ofisi zao utachagua nao gari kwa pamoja, watakufanyia hesabu ya jumla ili ujue bajeti kamili na ndio hiyo itakua kwenye mkataba. Utaonyeshwa CIF kwa uwazi, Ushuru wa TRA, na gharama za Bandari na Clearing. Wao wanapata discount kutoka kwenye kampuni hiyo ya nje watakapochukulia gari yako ambayo ndio wanaiweka kama fedha ya kukubebea dhamana chombo chako mpaka wakukabidhi. Ukipata dharula ya kutotimiza kiasi cha kodi mara nyingi wanakulipia.

Zaidi wapigie kwenye 0746267740 au nenda ofisi zao za Dar es Salaam na Mbeya

Marketing strategy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka mwaka juzi ilikua TZS 290,000. Sikumbuki kama ni VAT incl au la.
Port charges haipo hapo, hiyo inategemea gari imekaa siku ngapi port
Fair kidogo... Ila port charges inabdi uwe sharp kidogo kulipa kodi ili gari isikae bandarini sio
 
Back
Top Bottom