Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Mshukuru Sana Mungu kwa kukupa mwanamke aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho. Wewe umedate na mmoja unaongelea jamii mzima. Mimi nimewala mpaka siwezi kukumbuka ni wangapi, nimeishi kwenye jamii zao kwa zaidi ya miaka 8 nawajua in and out mkuu.
 
Mshukuru Sana Mungu kwa kukupa mwanamke aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho. Wewe umedate na mmoja unaongelea jamii mzima. Mimi nimewala mpaka siwezi kukumbuka ni wangapi, nimeishi kwenye jamii zao kwa zaidi ya miaka 8 nawajua in and out mkuu.
Endelea kugegedua,ila hata mimi ninao na bado nafikaga sana huko na nikipeleka cement.

Hata hutaki ila ukweli ni kwamba Tanzania yapo makabila ukioa jiandae kuletewa mtoto ambae sio wako na wanazo sababu zao wakikueleza unaweza ubaki umeduwaa.

Sote tumshukuru mungu hata wewe.
 
Hakika watupe info zaidi maana watoto wa huko machoni wanafaa kwa matumizi.

Story nazofahamu kuhusu hawa viumbe wa Rwanda ni kuwa karibu sana kwao kuliko familia.

Yaani kwenye maamuzi wanasikiliza kwao wanasema nini ndicho kinafanyika.
Kamanda upo sahihi asilimia Mia tano. Kama mtu hujaoa,achana na Hawa watu. HAWAFAI
 
Ana matatizo ya akili tu
 
Mkuu tangu urushe thread yako mwaka jana kama umeshamuoa Mnyarwanda tunahitaji kupata mrejesho toka kwako.
 
Alafu wengi wao wa baridi labda wachiga wa Rwengeri ndio kama wabongo lakini watusi hakuna kitu wavivu kwenye sita kwa sita
 
wakati wengi wameolewa na ndoa ziko safi!
 
Hii ndoa ishakufaga mkuu
 
Kigoma kuna kijiji kinaitwa utusini aka Nyarubanda...🤣🤣🤣 watotot wa kitutsi..wmejaaa teleeeee
 
Kwa kuwa uzi utaendelea kuishi basi nitarudi siku moja kuwaelezea kwa namna nitakavyowaelewa kupitia bi'dada mmoja iv[emoji850]....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…