Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Jamaa huyo ni mbishi,waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.

Huyu hana tofauti na reseter asiyetaka kubadilika,atafeli tena.
Narudia tena ninae mwanamke mnyarwanda na kwao zipo ila haelewi mtoto na yuko tayari kwa lolote hata kuishi Tz,kidume ndio nazingua sitaki kuoa.
Mshukuru Sana Mungu kwa kukupa mwanamke aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho. Wewe umedate na mmoja unaongelea jamii mzima. Mimi nimewala mpaka siwezi kukumbuka ni wangapi, nimeishi kwenye jamii zao kwa zaidi ya miaka 8 nawajua in and out mkuu.
 
Endelea kugegedua,ila hata mimi ninao na bado nafikaga sana huko na nikipeleka cement.

Hata hutaki ila ukweli ni kwamba Tanzania yapo makabila ukioa jiandae kuletewa mtoto ambae sio wako na wanazo sababu zao wakikueleza unaweza ubaki umeduwaa.

Sote tumshukuru mungu hata wewe.
 
Hakika watupe info zaidi maana watoto wa huko machoni wanafaa kwa matumizi.

Story nazofahamu kuhusu hawa viumbe wa Rwanda ni kuwa karibu sana kwao kuliko familia.

Yaani kwenye maamuzi wanasikiliza kwao wanasema nini ndicho kinafanyika.
Kamanda upo sahihi asilimia Mia tano. Kama mtu hujaoa,achana na Hawa watu. HAWAFAI
 
Jamaa huyo ni mbishi,waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.

Huyu hana tofauti na reseter asiyetaka kubadilika,atafeli tena.
Narudia tena ninae mwanamke mnyarwanda na kwao zipo ila haelewi mtoto na yuko tayari kwa lolote hata kuishi Tz,kidume ndio nazingua sitaki kuoa.
Ana matatizo ya akili tu
 
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

Mkuu tangu urushe thread yako mwaka jana kama umeshamuoa Mnyarwanda tunahitaji kupata mrejesho toka kwako.
 
[emoji117]Kwanza lazima uwe na vitanda viwili kimoja cha game kingine cha kulalalia maana wana mwaga maji kama kama mto malagarasi

[emoji117]Pili kwao mwanamke anasikilizwa sana hafokewi wala kupigwa mara nying huwa wanajisahau na kutaka hii tabia ku apply nje ya kwao

[emoji117]Tatu wanaamini katika kukuza kizazi chao pure so hata kama akizaa na mtu sio mnyarwanda lazima atazaa na mnyarwanda mwenzie hata mtoto mmoja

[emoji117] Nne wazuri wanapenda bata na wanatupenda sana wa TZ yaani mtz ukienda Rwanda utongozi mara mbili
Alafu wengi wao wa baridi labda wachiga wa Rwengeri ndio kama wabongo lakini watusi hakuna kitu wavivu kwenye sita kwa sita
 
Watutsi wanaotokea Rwanda iwe wapo ndani ya Rwanda ama nje wana tabia za ajabu sana, kwahiyo hao wahaya unaosema wanaangukia kundi hili na sio wahaya wote nakataa

Katika vitu sitaki vitokee ni mwanangu kuoa jamii hii,
Heri wanaotokea ukanda wa Burundi na kigoma huko ila sio ukanda huu wa Rwanda, bukoba yote na Uganda wabaya Sana mioyo yao,ni wazuri wa nje ndio ila hawafai kbs kuwa wake za watu
wakati wengi wameolewa na ndoa ziko safi!
 
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

Hii ndoa ishakufaga mkuu
 
Hapo kwenye namba Tatu ni kwamba sio utakupachikia mtoto mmoja kutoka kwenye damu yao. Unaweza kuzaa na mwanamke wa Kinyarwanda(MTUTSI) watoto wa5 lakini siku mkivurugana atakwambia hapo watoto wa5 huna wako hata mmoja.

NIlifanya kazi sehemu mmoja wapo WATUTSI hapa Tanzania. Jamaa mmoja alioa mtutsi na historia ilionyesha jamaaa aliwekewa mizengwe sana asioe huyo mdada kama kumzuia asioe wakampiga mahari ya ng'ombe wengi aina ya nyankole.

Wakaishi miaka ikaenda ikarudi aseee wakazaa watoto.
Wamekuja zinguana na mwanamke, mwanamke karudi kwao kamwachia watoto baadae anampigia simu kamwambia hapo kama unaona kuna mtoto anafanana na wewe ni wako kama hakuna sio wako nakuja kuwachukua.

LETS CUT THE STORY.
Wanawake wa kitutsi wana damu kali aseee ukizaa nae lazima atoe kitu safi kuitizama kwa macho.

Kwenye namba mbili hapo ni kwamba hupenda nao kusikilizwa na kuheshimiwa hulka ambayo ni ya WANAUME sasa nao wanataka kuwa VIDUME ndani ya nyumba. Maamuzi atoe yy. Hela ashike yy. Aamue mgeni gani aje nani asije.

Hapa ndipo sasa hutafunwa na ndugu zake.
Atakuja binamu yake kusalimia kwako eti nimekuja kumsalimia dada. Kwa jinsi wamavyofanana watutsi huwezi kataa kwamba huyu sio kaka yako. Maana sura zao hufanana kama hujakaa nao kuweza kuwafahamu na kuwatofautisha. (KAMA WACHINA)
Wewe umetoka upo kazini, ndani sarakasi zinachezwa. Mtazaa watoto hata 7 huna wako hata mmoja.
Kigoma kuna kijiji kinaitwa utusini aka Nyarubanda...🤣🤣🤣 watotot wa kitutsi..wmejaaa teleeeee
 
Kwa kuwa uzi utaendelea kuishi basi nitarudi siku moja kuwaelezea kwa namna nitakavyowaelewa kupitia bi'dada mmoja iv[emoji850]....
 
Back
Top Bottom