Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Mshukuru Sana Mungu kwa kukupa mwanamke aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho. Wewe umedate na mmoja unaongelea jamii mzima. Mimi nimewala mpaka siwezi kukumbuka ni wangapi, nimeishi kwenye jamii zao kwa zaidi ya miaka 8 nawajua in and out mkuu.Jamaa huyo ni mbishi,waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.
Huyu hana tofauti na reseter asiyetaka kubadilika,atafeli tena.
Narudia tena ninae mwanamke mnyarwanda na kwao zipo ila haelewi mtoto na yuko tayari kwa lolote hata kuishi Tz,kidume ndio nazingua sitaki kuoa.