Nikazama ndani,kuingia nikaulizwa una shida gani nikamwambia bint naomba maji gari yetu imesumbua kidogo,akanambia kwani hapa ni bomba la kijij? unaonekana muongo,wewe ni jambaz ngoja nipigie askari waje,akatoa simu akapiga kupiga huyo mtu anaongea kingereza hapo ndipo nilipomuacha hoi,sijui hata tense wala gramma.
Unajua kilichotokea?nikamtolea pasport yangu akakagua wakat yanafanyika yote hayo tupo wawili tu ndani.akamuita mlinzi akaamuru nipewe maji na nikaruhusiwa kuondoka.kumbe alivyonirudishia pasport nilidondosha lesen na namba ya simu