Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

yani tumambo mambo simply simply kama huto ndio tunakukera?! Asa mafuta na mkaa vinateketea na wakati vinatumika kwa matumizi ya wewe na yeye sasa unashangaa nini?! Au anachota mkaa anapeleka kwao?! Bwana mdogo bado unaogopa majukumu wewe!
 
Kuna dogo jirani yangu nae kaoa eti wakigombana mke anavunja vyombo!!!
Dah! Kuna Wanaume wavumilivu asee
 
Hahahaha 🤣 🤣 🤣
Tawaza kwaza hizi particles za maharage
Nyumbu wewe
 
Huo ndiyo ukweli wewe ni mayala mbwa koko haoni ndani
Kumbuka kutawaza hayo mabaki ya maharage
Mbarika kikwetu jibwa KOKO linalopandwa na madume ya mtaa mzima..!! 😹
Umeona unavyojitukana mwenyewe sasa..!
 
Ndoa ni ibada mzee.....kwa imani ya kiislamu ndoa ni nusu ya dini ndoa ndo uanaume wenyewe...

Sasa apo bado inatakiwa uoe kama hao wanne....
 
Pole sana mkuu. Najua sababu hujapata mtu akakupenda vizuri. Ukimpata mtu akakupenda sana mbona utaongea lugha moja na wanaopendwa.
 
Utazoea tu.
 
Asanteni kwa maoni yenu japo kuna wengine mna maoni ya hovyo wengine mme nichana na wengine wame nishauri vizuri.

kifupi ilibidi nimsanue ya kwamba anazingua kwanzia kwenye matumizi nk. na kama anaona kuna mazingira hayaelewi basi ajichenge, amekili nakuahidi kujirekebisha na naona ame changamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…