Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Sahihi mkuu hapo kwenye urafiki nakubali, sio mwanaume ukifika ndani ni utemi mbele. Enzi zinabadilika wale wanawake wavumilivu wakufanyia utemi walishapotea.
 
Hapo ukiongezea na vimichepuko viwili vitatu baas hiyo ndoa imekamilika na haitavunjika kamwe..
 
Hivi hapo napo unajiita unaishi kwenye ndoa...Kenge maji wewe acha kufaninisha ndoa na uchumba
 
Humu JF wengi wanafiki tuu, unaweza kukuta huyo huyo wa fb anayesema anapanua kwa mikono ndo huyu huyu huku JF anayesema hapendi doggy πŸ˜‚
 
Unafurahia good moments, unapuuzia bad moments. Wengine bila mke ndani maisha yanakuwa magumj sana...
Nyumba bila mwanamke ni sawa na boma lisilona kitu. Imagine umerudi mitikasi usiku huu unakuta taa zinawaka, nyumba inanukia misosi, nyumba safi imepangika kuanzia sebureni mpaka chumbani, chakula kimaeandaliwa, ww unafika unaoga unatengewa msosi unakula unalala na mpishi. Kesho asubuhi unawahi mitikasi unavaa nguo safi zimefuliwa zimenyooshwa. Hapo kipi kingine utakiwaza kwenye maisha Yako zaidi ya kutafuta hela kwa bidii na nidhamu??
 
Inaonesha ndiyo style unaipenda chuma mboga kizibo unakiona kileeeee paleeeee ukikosea kidogo tuu imooo,,,,,,
 
Shukrani sana
 
Sahihi mkuu hapo kwenye urafiki nakubali, sio mwanaume ukifika ndani ni utemi mbele. Enzi zinabadilika wale wanawake wavumilivu wakufanyia utemi walishapotea.
Kweli kabisa Mkuu. Na ukishakuwepo urafiki ni rahisi kila mmoja kujua anachopenda na asichopenda mwenzake.

Sababu muda wa kuzungumza utakuwepo.
 
Kabla hujamuweka ndani ukimnunulia chips hamalizi anasema ameshiba, umemuweka ndani kafuta kilo 25 ya mchele siku mbili na hapo bado hajakuzoea vizuri bado anaona aibu kula ngoja afungulie turbo utasema vizuri.
 
sasa chuma mboga inaubaya gani 😁

kuwa independent woman napo ni kisanga
 
Kweli kabisa Mkuu. Na ukishakuwepo urafiki ni rahisi kila mmoja kujua anachopenda na asichopenda mwenzake.

Sababu muda wa kuzungumza utakuwepo.
Kabisa mkuu, mwamba apunguze utemi tu, hapo kwenye bajeti ajaribu kumuelekeza na kumuongoza watakuwa sawa na amani tele. Hamna kiumbe kilichokamilika sana sana ni kubebeana madhaifu yanayoweza kubebeka na kivumiliana aisee. anaweza kumuacha huyo akadondokea kwenye machine mbovu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…