The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kauli mbiu yangu siku zote inabaki pale pale.
1. Haijalishi unapata kiasi gani, unafanyaje na unachokipata ndio inaleta tofauti.
2. Mara nyingi, mshahara hautoshi hata ulipwe kiasi gani. Hii ni kwa sababu pesa haijawahi kukosa matumizi hata siku moja, jitahidi kuwa makini kwenye kuweka vipaumbele vya muhimu.
Tukirudi kwenye mada, kama unaishi Dar na umeajiriwa hiyo pesa itakufanya uwe na wakati mgumu sana.
Mtungi wa gas ni kwenye 50,000/- kwa familia ya aina hiyo kodi ni 300,000-400,000/- kwa mwezi.
Tuweke kando chakula, nauli kazini, mavazi na mahitaji mengine, hatujaongelea ada na usafiri wa watoto. 300,000/- ni kipimo cha imani.
Ukiishi mbali zaidi na maeneo ya kazi gharama za usafiri zinaongezeka.
Magazijuto ya hali ya juu inatakiwa kwenye haya mambo.