Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

Kauli mbiu yangu siku zote inabaki pale pale.
1. Haijalishi unapata kiasi gani, unafanyaje na unachokipata ndio inaleta tofauti.

2. Mara nyingi, mshahara hautoshi hata ulipwe kiasi gani. Hii ni kwa sababu pesa haijawahi kukosa matumizi hata siku moja, jitahidi kuwa makini kwenye kuweka vipaumbele vya muhimu.

Tukirudi kwenye mada, kama unaishi Dar na umeajiriwa hiyo pesa itakufanya uwe na wakati mgumu sana.

Mtungi wa gas ni kwenye 50,000/- kwa familia ya aina hiyo kodi ni 300,000-400,000/- kwa mwezi.

Tuweke kando chakula, nauli kazini, mavazi na mahitaji mengine, hatujaongelea ada na usafiri wa watoto. 300,000/- ni kipimo cha imani.

Ukiishi mbali zaidi na maeneo ya kazi gharama za usafiri zinaongezeka.

Magazijuto ya hali ya juu inatakiwa kwenye haya mambo.
 
Unakuta mtu ndo kwanza anaenda kuikopea kwa makato ya miaka saba,halafu anaenda kujenga.Nyumba ikisha fika kwenye renta,hela yote imekata.
 
Inakua ni jehanam kila upande. Unaishi kwa shida huku unaua kabisa malengo na matumaini ya siku zijazo.

Kodi unatakiwa uendelee kulipa, nyumba haijakamilika, mkopo unadaiwa.
Kuna kipindi ukiona mtu anatukana hovyo au anakua mkali usipandishe jazba, jutahidi usisumbuane nae kisha endelea na mambo yako. Vichwa vimebeba mambo mengi sana.
 
Inasikitisha sana mkuu.Cha kushangaza ni kwamba,makosa ya namna hyo yanafanywa na kurudiwa na watumishi wengi mno.Yaani kila mtumishi anakopa ili ajenge,mpaka unajiuliza.Hivi hawajifunzi?
 
Kuna elimu flani tunaikosa nafikiri. Hawa watu wa mtaani tunawachukulia poa lakini asikudanganye mtu vichwa vyao vinachaji sawa sawa na ma CEO au GM wa makampuni makubwa.

Kwanza muda wote anawaza atatengenezaje pesa, haangalii ni 5,000/- 10,000/au 50,000/- kwa siku, utulivu wake uko hapo tu kwenye kuhakikisha anafanyaje kuongeza kipato. Hiyo ipo kwenye damu kuanzia anaamka, anapolala na hata ndoto zake zimetawaliwa na hayo mambo, ndio maana wanafanikiwa sana licha ya changamoto zao.

Wanatumia walichokipata kwa umakini na weledi wa hali ya juu. Ukiongea nae unajiuliza huyu alisoma lini economics, marketing, finance na management?

Hawa ndio wale hata kama anajenga au kufanya mradi wa maendeleo, anahakikisha chanzo cha pesa hakifi na anaumiza kichwa kuongeza kingine. Lakini hili ndio kundi lenye elimu ya mtaani.

Tukirudi kwetu waajiriwa sasa. Licha ya theory na makabrasha mengi tumejaa woga sana.

Ile tu kwamba mwisho wa mwezi ntapata mshahara, akili inatulia tuliiii, na ukiingia ni mwendo wa kutoboa ukuta tu huku ukichagizwa na mlio mzuuuuri wa ATM.
Ukishakamata pesa mipango yoooote inayeyuka, bata zote unataka uzimalize, kwa pesa ipi? Ukitaka kuhakikisha hilo nenda sehem za starehe hizi tarehe, haupati parking. Ukiingia ukumbuni haupati sehem ya kutema mate, nyomi! Lakini baada ya siku kumi tu, utulivu wa kutosha mtaani.

Hauwezo kuwa unafanya mambo kwa njia ileile ukategemea matokeo tofauti, haiwezekani.

Sasa kutokana na hii hofu ndio mtu anakimbilia mkopo wa kujenga nyumba bila gata kufanya utafiti wa kutosha kujua uwekezaji kiasi gani unatakiwa.

Matokeo yake ndio ujenzi kuishia njiani na kukabidhi ATM kadi na password kwa wanaokopesha kwa riba. Maisha yanapoteza maana.
 
Umeongea yote mkuu! Big up kwa ufafanuzi mzuri.Natamani mtumishi wa umma apite asome hapa.
 
Mkubwa haya maradhi sio kwa watumishi wa umma pekee, ni ugonjwa wa wengi wetu tulioajiriwa.

Ila nashukuru ukali wa maisha umeanza kutuzindua na kutufanya tufumbue macho.

Jambo la kwanza ni kutoa semina elekezi kwa familia na ieleweke kwamba mambo inabidi yabafilike kwa manufaa na maslahi mapana ya familia.

Barikiwa sana
 
Nipo na kalkuleta hapa bank alert imenitaarifu mwajiri ashanifuta jasho.

Nimefanya magazijuto yote wapi, hesabu zimegoma, unanishauri vipi hapo?

Nakushauri uendelee kufanya magazijuto,lazima kuna sehemu unachanganya
 
Mkubwa haya maradhi sio kwa watumishi wa umma pekee, ni ugonjwa wa wengi wetu tulioajiriwa.

Ila nashukuru ukali wa maisha umeanza kutuzindua na kutufanya tufumbue macho.

Jambo la kwanza ni kutoa semina elekezi kwa familia na ieleweke kwamba mambo inabidi yabafilike kwa manufaa na maslahi mapana ya familia.

Barikiwa sana
Amina mkuu 🙏
 
Nakushauri uendelee kufanya magazijuto,lazima kuna sehemu unachanganya

Kodi ya mwezi peke yake haitoshi hii minimum ya 300,000/- yaani imeishia kwenye Mabano, sijafika hata Gawanya ili niende Zidisha nimalizie Jumlisha na Toa nakuta mpira umeshaisha, yani kama ni ulingo wa ndoni mtu anapigwa round ya kwanza KO!

Hatari
 
Hebu nitumie hizo expenses nikukalkuletie 😅
 
Nimeingiza kwenye excel inaniambia system error.
Income less than Expenditures

Action required

Revisit notes on how to be Fisadi

Usijali
Wewe nipe hizo expenditures,nitaziadjust hadi zimeet with income....wala hatuhitaji kuwa mafisadi

Niachie mie
 
Kila mbhzi hula kwa urefu wa kamba yake. Kuna baadhi ya misemo wazee wetu walipatia sana.
Hongera mkuu 300000 kubwa sana

Unashindwaje maisha kwa bajeti ya kutumia 10000 kwa siku?
Tulia ujipange,,,wacha kuishi maisha yaso saizi yako
Aise laki tatu unaiona ndogo usawa huu wa magu wakati hapa mimi take home ni laki na nusu na inatosha mimi na familia yangu na chenji inabaki
Subiri waje mkuu...
Ila naimani ukiwa na bajeti na ratiba zisizobadilika kila kitu kinawezkekana.

Mambo yanayoleta utofauti ni mengi kuanzia eneo unaloishi...upatikanaji wa chakula...usafiri...maji...umeme..kodi ya nyumba n.k
Mbona kubwa sana mkuu ni jinsi tu ya kuipangilia punguza vitu ambavyo sio vya msingi
Unge-specify na mkoa maana kuna mikoa 300k ni equivalent 1m [emoji23]
Ishi kutokana na kipato chako sisi tuna take home mil 1:3 lkn inaweza fika siku ya mshahara mna pumulia ges
Watu wanapokea chini ya hiyo Laki 3 na anamiliki House girl anaemlipa elf 50, Kodi ya Nyumba elf 50, nauli ya kwenda na kurudi kazini kwa Mwezi pamoja na msosi wa kazini Weka laki moja kwa maana ya elf 3 kwa siku
Ana watoto wawili wanasoma shule za kata pamoja na kila kitu bure wanatozwa elf 1 kila ijumaa ya ‘Maboresho ‘

Iliyobaki ndio Unga , Sukari, mafuta n.k na unakutana nae tupo nae JF kama kawaida full furaha
Mkuu kwani chai inanyweka ya shiling ngapi?
Kama ni kula kuku, chipsi nyama choma hiko kiasi hakitoshi

Hapo anatakiwa aishi maisha ya kipato chake sio kufake

Leo unakula nyama kesho tembele
Maisha ndio ivyo
Ukitaka hiyo hela ibaki punguza baadhi ya vitu
Laki 3 nyingi Sana mkuu..kikubwa kua na matumizi mazuri na yenye umuhimu na usisahu kila mbuzi ula majani kulingana na urefu wa kamba yako.
Nawaomba muweke maelezo ya ni kiasi gani kitatumika kwenye
Kodi ya nyumba
Uszafiri
Chakula
Umeme
Maji
Mawasiliano
Mavazi

Jifanye una mke na watoto wawili kisha tuwekee bajeti yako hapo sio kelele kama za wakulima wa matikiti wa Facebook
 
Vipaumbele tu ndo tunatofautiana. Kuna watu wawili wababa wote wana familia. Mmoja take hom 300k na mwingine 1,200k ila cha ajabu sasa mara nyingi huyo wa 1.2m anakopa kwa huyu wa 0.3m
Haya maisha yana usechu mwingi sana.
 
Pesa haijawahi kutosha...cha msingi ni kuzingatia matumizi ambayo ni necessary kwa family na kuacha/kupunguza anasa
Sijaulizwa mie lakini nimejibu hivo hivo​
ever studied developments economics my sister, i doubt coz if you could have you couldnt pen that statement pls
 
Jamani kiuhalisia huo mshahara ni mdogo ,mimi hapa nilipo nalipwa 200k take home sijaoa na sina mtoto ila cha moto nakiona,ila nitafanyaje sasa ndoivo tumemaliza chuo ajira hakuna tupo mtaani jobless, Nimejitahidi kutunza walau nipate hata mtaji ila ndoivo majukumu mengi hususan sisi tuliotoka kwenye familia za kimaskin,wazazi nao wanataka huwasaidie,madogo wanataka,shangazi,mjomba n.k

Dah ila maisha hayapo fair kabsa,yan napitia comments za wadau naona kuna watu wanalipwa hadi 2m nao pia wanalalamika? Mimi nikipata hata 500k naamini nitafanya jambo kwa kwel.
Daaaah,hatari sana na huwezi kuacha hiyo kazi ukiacha ndio inakua taabu zaidi,kuna watu wana itolea macho kweli kweli ukiacha tu wana cover fasta
 
Back
Top Bottom